Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,107
- 122,495
Anaoga saa hizi mmh. Wewe mwifwa nitakualika weekend uje kwangu kufuturu hivyo jiandaeJamaniii alikua anaogaa
Anaoga saa hizi mmh. Wewe mwifwa nitakualika weekend uje kwangu kufuturu hivyo jiandaeJamaniii alikua anaogaa
Jiandae mwenyewe Sisi wengne hatujaalikwaAnaoga saa hizi mmh. Wewe mwifwa nitakualika weekend uje kwangu kufuturu hivyo jiandae
hatujaalikwa kwenye kikao cha Rais na viongozi wa mkoa na wilaya ikulu ndogo KLM, Mbunge na Meya wa Moshi mjiniJiandae mwenyewe Sisi wengne hatujaalikwa
Mjini.. Kutafuta Nini tena Kwan uliambiwa ikulu ni YA wapinzanihatujaalikwa kwenye kikao cha Rais na viongozi wa mkoa na wilaya ikulu ndogo KLM, Mbunge na Meya wa Moshi mjini
wapinzani wa nchi hii ni popoMjini.. Kutafuta Nini tena Kwan uliambiwa ikulu ni YA wapinzani
Popo ni mnyama au ndege?wapinzani wa nchi hii ni popo
Ndege fast jet au bombadierPopo ni mnyama au ndege?
Bombardier!! Hapana, labda DreamlinerNdege fast jet au bombadier
Bado ipo hewani, nasikia ina kasi ya bajajiDreamliner haijawasili bado
Kona ile iliyopigwa na mchezaji maarufu, ilizima ndoto za timu pinzani kutwaa ubingwa wa mashindano ya Ligi nchini kwaoBajaj huwa inanishangaza sana hasa kwenye kona
Kwao nchini kuna mizengwe mingi , ndio maana timu pinzani ilifungwaKona ile iliyopigwa na mchezaji maarufu, ilizima ndoto za timu pinzani kutwaa ubingwa wa mashindano ya Ligi nchini kwao
Ilifungwa milango yote baada ya kugundua kuna hatari ya kuvamiwaKwao nchini kuna mizengwe mingi , ndio maana timu pinzani ilifungwa
Kuvamiwa na chui msituni bora uliwe na samaki bahariniIlifungwa milango yote baada ya kugundua kuna hatari ya kuvamiwa
Baharini hali imebadilika sana, hata kivuko cha MV Dar es Salaam kilishindwa kusafiri kutokana na hali hiyo kipindi kilipozinduliwaKuvamiwa na chui msituni bora uliwe na samaki baharini
Kilipozinduliwa kisima cha maji niljua sichangii hela , Leo nmedaiwa BiliBaharini hali imebadilika sana, hata kivuko cha MV Dar es Salaam kilishindwa kusafiri kutokana na hali hiyo kipindi kilipozinduliwa
Bili lazima ulipe kwasababu maji unapataKilipozinduliwa kisima cha maji niljua sichangii hela , Leo nmedaiwa Bili
Unapata Shida kulala usiku kama hukula msosi wa jioniBili lazima ulipe kwasababu maji unapata
Jioni hii nimepata habari tofauti tofauti, zingine zina ukakasi sanaUnapata Shida kulala usiku kama hukula msosi wa jioni