Bus zenyewe siku hizi zipo slow barabarani sababu ya tochi za maafisa usalamainayosomwa ni ile namba ya bus ambalo dereva wake kajitaja mwenyewe japo abiria tulioko ndani hatujui tunapoelekea maana gari limekosa tlb na mamlaka husika wamebaki kutazama tu kwakua wanaogopa dereva asije akawagonga maana abiria wengi wamekosa imani nae hibo kelele ni nyingi ndani bus
Wenyewe bado mupo humu wakuu nimewakumbuka sana aisee ni Mimi Mdogo mtiifu wenu katika kupambana na elimu ya juu gbefaUsalama wa raia ni jukum la raia wenyewe.
Mawazo gani wewe msumeno?mawazo hayaishi labda upate kifuta mawazo
Vizuri kuwahi kupumzika ili kesho tuwahi vibaruani mwetu.Mawazo gani wewe msumeno?
Ebu tufuate kanuni za mchezo ili tuweze kucheza na kuburudika vizuri
Maharusi walipambwa kwa kila aina ya pambo hadi wakatia fora kwa watu wengi"Mwetu mwetu "alisikika msimuliaji alipofikia kipengele cha kipiga picha maharusi
Wengi wameshalalaMaharusi walipambwa kwa kila aina ya pambo hadi wakatia fora kwa watu wengi
Wameshalala wengi lakini wachache tunasubiri DakuWengi wameshalala
Wameshalala wengi lakini wachache tunasubiri Daku
Kazi imeanza sasa!daku italiwa endapo mchana ulfanya kaz
Salama salmini nimeamka, mzima wa afya. Sijui wenzangu wengine.Kazi imeanza sasa!
Habari zenu wote humu, ni matumaini yangu mumeamka salama salimini
Wengine ndio tunaenda kulala.haya bi emmyta asubuhi njema Mola atufanyie wepesi katika shughuli zetuSalama salmini nimeamka, mzima wa afya. Sijui wenzangu wengine.
Zetu mwazitaka, zenu mwazifichaWengine ndio tunaenda kulala.haya bi emmyta asubuhi njema Mola atufanyie wepesi katika shughuli zetu
Mwazificha ili iwe siri kwenu tuZetu mwazitaka, zenu mwazificha
Kwenu tu ndio inawezekana ila kwetu hapanaMwazificha ili iwe siri kwenu tu