Jamii forum ni moja ya mitandao iliyo bora hivyo wala hutopata tabu ya kujua njia zilizo sahihi za kupita ili uwe sawa na wenzako.Sana nomefurahi kwa kunikaribisha, bila shaka mtanionesha njia iliyo sahihi katika huu ulimwengu wa Jamii Forum
Jf inaingoza kwa kuwa na magreat thinkers than other forumsSana nimefurahi kwa kunikaribisha, bila shaka mtanionesha njia iliyo sahihi katika huu ulimwengu wa Jamii Forum
Forums si ndio vikao. Au hii ya huku ina maana tofauti.Jf inaingoza kwa kuwa na magreat thinkers than other forums
Tofauti ya hii forum na zingine ni zipi?Forums si ndio vikao. Au hii ya huku ina maana tofauti.
Zipi ni dalili za mtu anayetaka kutumbuliwa hebu semeni basiTofauti ya hii forum na zingine ni zipi?
Basi nitauliza wengine, naona mnakwepa swali languZipi ni dalili za mtu anayetaka kutumbuliwa hebu semeni basi
Langu jukumu sio kukupa tofauti za jf na forum zingine kwa kuwa umeshajiunga utaziona tu mwenyewe usiwe na haraka.Basi nitauliza wengine, naona mnakwepa swali langu
Haraka haraka haina baraka! Ahsante kwa kunielewesha emmytaLangu jukumu sio kukupa tofauti za jf na forum zingine kwa kuwa umeshajiunga utaziona tu mwenyewe usiwe na haraka.
Emmyta njoo niku tigopesa fastaHaraka haraka haina baraka! Ahsante kwa kunielewesha emmyta
fasta emmyta akikutigopesa nigaiepo shogaaaEmmyta njoo niku tigopesa fasta
Shogaa wala usijali mie tena. Huwa nautumia sana ule msemo wa kizuri kula na ndugu yakofasta emmyta akikutigopesa nigaiepo shogaaa
Yako hali nijalie, mzima wewe na wenzio humu?Shogaa wala usijali mie tena. Huwa nautumia sana ule msemo wa kizuri kula na ndugu yako
Imeenda vizuri kabisa. Namshukuru mungu mzima wa afya. Karibu tenaVipi lakini siku yako, imeenda vizuri?
Watu wanakupenda lakini?, maana isije kuwa wewe ndio unawapenda ila wao hawajaliEmmyta hana roho mbaya siku zote ni mpenda watu.
Hawajali wale nilio waonyesha njia. Wananipenda kwa kweli sina budi kujivunia kila kukicha.Watu wanakupenda lakini?, maana isije kuwa wewe ndio unawapenda ila wao hawajali
Kila kukicha usisahau kumuomba na kumshukuru Mungu kwa hilo la kupendwa na watuHawajali wale nilio waonyesha njia. Wananipenda kwa kweli sina budi kujivunia kila kukicha.