Kunishinda kweli umenishinda chuma cha mjerumani maana mimi hata kiwanja sina ila kenya siamii hata kwa viboko.kulipa yenyewe inataka kunishinda sijui niuze kiwanja kimoja niamie kenya uku kunataka kunishinda
Kunishinda kweli umenishinda chuma cha mjerumani maana mimi hata kiwanja sina ila kenya siamii hata kwa viboko.
Gali bei ndio kimefanya mpaka leo sijanunua najipanga mkuu mwaka huu lazima ninunue.viboko utachapwa kama mpaka sasa huna kiwanja jitaidi kusave mdogo bhana ata milion 2 unapata kiwanja sio lazima uanze na cha bei gali
Gali bei ndio kimefanya mpaka leo sijanunua najipanga mkuu mwaka huu lazima ninunue.
Ardhi ni investment nzuri sana (its value grows year after year) itabidi niuze noah yangu ninunue viwanja kimoja changu kingine cha rafiki yangu emmyta.ninunue ata mimi nilikuwa na mawazo hayo hayo sema niliwai kushtuka miaka 22 nilikuwa chuo tayari na ardhi
Ardhi ni investment nzuri sana (its value grows year after year) itabidi niuze noah yangu ninunue viwanja kimoja changu kingine cha rafiki yangu emmyta.
emmyta atafurahi kwani huo utakuwa sio urafiki pekee bali undugu.Ardhi ni investment nzuri sana (its value grows year after year) itabidi niuze noah yangu ninunue viwanja kimoja changu kingine cha rafiki yangu emmyta.
emmyta atafurahi kwani huo utakuwa sio urafiki pekee bali undugu.
Ujinga sio mzuri ndio mana unapigwa vitaPm aliifunga baada ya watu wengi kumsumbua na hadithi nyingi za kibashite bashite emmyta apendi ujinga.
Vita unapigwa sababu ndi chanzo cha umasikini na kusababisha watu wengi wakimbilie vijijini hasa koromije.Ujinga sio mzuri ndio mana unapigwa vita
Vita haina macho ukijiweka wazi utajeruhiwaUjinga sio mzuri ndio mana unapigwa vita
Koromije au kolomije mbona kila mtu ana hamu ya kupataja?Vita unapigwa sababu ndi chanzo cha umasikini na kusababisha watu wengi wakimbilie vijijini hasa koromije.
Kupataja lazima manake huyo mtu wa kolomije kutokana na madudu yake amepafanya kuwa maarufu kama new york city na lazima nifike huko mwaka huu.Koromije au kolomije mbona kila mtu ana hamu ya kupataja?
Mwaka huu patajaa huko Kolomije mana mi pia nina mpango huoKupataja lazima manake huyo mtu wa kolomije kutokana na madudu yake amepafanya kuwa maarufu kama new york city na lazima nifike huko mwaka huu.
Huo mpango unanichekesha sana wote tumejaa kwenye basi tunaelekea kolomije naisubiri kwa hamu siku ya safari.Mwaka huu patajaa huko Kolomije mana mi pia nina mpango huo
Safari sio kifoHuo mpango unanichekesha sana wote tumejaa kwenye basi tunaelekea kolomije naisubiri kwa hamu siku ya safari.
Kifo kinaogopesha ila ndio hivyo hakuna jinsi kila mmoja wetu lazima atakufa.Safari sio kifo