Wa mwisho ndiyo mshindi

Wewe una tabia mbaya ila. Mi sijambo ila hata kunichagulia kakitengo kwenye mpango wako wa harusi.
Harusi itanoga saana. Kwani wewe unafikiri nimekusahau eeeh? Kitengo chako nitakufanyia sapuraizi ila wewe unatabia mbaya zaidi maana haujaja huko kisa hauna kitengo
 
Harusi itanoga saana. Kwani wewe unafikiri nimekusahau eeeh? Kitengo chako nitakufanyia sapuraizi ila wewe unatabia mbaya zaidi maana haujaja huko kisa hauna kitengo
Kitengo changu nilijua kitakuwepo ndio mana nikawa nasubiri ila usihofu nakuja.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kitengo changu nilijua kitakuwepo ndio mana nikawa nasubiri ila usihofu nakuja.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2] yaani kicheko chako meno thelathini yote ndani nje. Sikuwezi
 
Jinsi ulivyo kibonge wewe walai unaweza kupasuka kwa vyakula
Vyakula ndio vinifanye nipasuke. Hahahaaa Hapana nadhani uandae tu kagari kakunirudisha nyumbani mana sitaweza kutembea.
 
Kutembea ukumbini kwenyewe nina mashaka nako kama utaweza
Utaweza kunibeba kwani wakati utakuwa busy na bibi harusi. Sina jinsi itabidi nikija nisile sana ili nisiwape kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…