Wa mwisho ndiyo mshindi

kuyabeba haikuwa issue sana, issue ilikuwa wapi pa-kuhifadhi
Pa-kuhifadhi kitu gani, kwani wewe ni katope.

Unataka kuishi mabatini, mtu asili yake tope

Unakimbilia mjini, washamba wasikukope.

Umekuwa wa mtaani, unachana zako kope.

Kwenu umekuwa mgeni, hutaki tusilopoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…