Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Hayo nnayoyasema yapo na yanaendelea kutokea,kuhus kutendwa ilo sahau na halitokuja kutokea,nashuhudia wanawake weng wanaolalamika nyie ndo sababuJamani na nyie badilikeni, umeshatendwa nini? Siwezi amini fundi kama wewe yamekukuta hayo
Sababu kubwa za "me"ni kutotosheka...Hayo nnayoyasema yapo na yanaendelea kutokea,kuhus kutendwa ilo sahau na halitokuja kutokea,nashuhudia wanawake weng wanaolalamika nyie ndo sababu
Hayo nnayoyasema yapo na yanaendelea kutokea,kuhus kutendwa ilo sahau na halitokuja kutokea,nashuhudia wanawake weng wanaolalamika nyie ndo sababu
Nusu kwa nusu inategemea na mtu,si kila mwanamke mkimuona mnasema anataka nusu kwa nusuSababu inaweza kuwa ni nyie wenyewe na ajenda yenu ya usawa wa nusu kwa nusu
Kutotosheka ni kawaida ya kila mwanaume ila naamini akijua kutulizwa na ke basi kamwe hatoki njeSababu kubwa za "me"ni kutotosheka...
Nje kunavivutivo maridhawa...Kutotosheka ni kawaida ya kila mwanaume ila naamini akijua kutulizwa na ke basi kamwe hatoki nje
Maridhawa huonwa kwa mwanaume ambae hajaridhishwa na alie ndanNje kunavivutivo maridhawa...
Nusu kwa nusu ndio inayowaponza wenzio waeleze sasaNusu kwa nusu inategemea na mtu,si kila mwanamke mkimuona mnasema anataka nusu kwa nusu
Ndani ya sufuria kuna maji !!Maridhawa huonwa kwa mwanaume ambae hajaridhishwa na alie ndan
Maji hayo yanatokea wap tena ZZ[emoji23] [emoji23]unanifurahishaga we hujui tu,sasa itabidi tufungue ile pharphacy yetu au unaonajeNdani ya sufuria kuna maji !!
Unaonajee ?!!? ndg AQ mie siyo mtaalamu au pharmacist mambo ya madawa sijui....!!Maji hayo yanatokea wap tena ZZ[emoji23] [emoji23]unanifurahishaga we hujui tu,sasa itabidi tufungue ile pharphacy yetu au unaonaje
Sjui ila nadhani utakua mtaalamu halisiUnaonajee ?!!? ndg AQ mie siyo mtaalamu au pharmacist mambo ya madawa sijui....!!
Khalisi haitopatikana kwa mfumo huu uliyopo !!Sjui ila nadhani utakua mtaalamu halisi
Uliyopo sasa kwani unakasoro gani,mm naona ndo hali ilivyo ni ya kukubaliana nayo tuKhalisi haitopatikana kwa mfumo huu uliyopo !!
tukubaliane kabisa mbele ya hadhara ya wazee, siyo baadae unanigeuka !!!Uliyopo sasa kwani unakasoro gani,mm naona ndo hali ilivyo ni ya kukubaliana nayo tu
Unageuka ww au mm jaman ZZ,mm sigeuki,tufungue tu ile pharphacy yetu kama tulivoahidiana[emoji23] [emoji23]tukubaliane kabisa mbele ya hadhara ya wazee, siyo baadae unanigeuka !!!
Tulivo ahidiana ni kumweka salesperson hapo chemist dukani nawe ubaki Malkia wa nyuki...Unageuka ww au mm jaman ZZ,mm sigeuki,tufungue tu ile pharphacy yetu kama tulivoahidiana[emoji23] [emoji23]
Nyuki huleta asali tamu,kwaio mm ntakua nalinda asali[emoji12] ,nasubiria kua assistant manager[emoji38] [emoji38]Tulivo ahidiana ni kumweka salesperson hapo chemist dukani nawe ubaki Malkia wa nyuki...
Manager siyo wadhifa mdogo kwangu utawajibika hakuna uswahibat !!!Nyuki huleta asali tamu,kwaio mm ntakua nalinda asali[emoji12] ,nasubiria kua assistant manager[emoji38] [emoji38]
Uswahibat wa nn[emoji38] we nieke apo alaf uoneManager siyo wadhifa mdogo kwangu utawajibika hakuna uswahibat !!!