Tukijue haswa chanzo cha ajali ya wale watoto kule arusha maana kama tunaona ktk oicha njia ilikua na utelez na mteremko vip watuambie ni speed kali ya dereva??Kikusikitichasho itabidi utuambie wewe kwanza tukijue
Dereva wa lori bado hasikii kelele za abiria wakeTukijue haswa chanzo cha ajali ya wale watoto kule arusha maana kama tunaona ktk oicha njia ilikua na utelez na mteremko vip watuambie ni speed kali ya dereva??
Utafanyaje ukibaini umepata maambukizi ya UKIMWIAbiria wake kivip?? Maana gar likipata ajal kila siku tunasikia mwendo mkubwa,,hakuna anaesema gar limefel break maana chombo ni tofauti na mtu,,mtu akisikia maumiv anasema lakin chombo kinafeli wakat upo baraban utafanyaje?
vyeti feki vimemfukuzisha kazidokta akumbwa na sakata la vveti feki
Kazi ni kazi, kumbe ata kuvamia studio za watu nayo ni kazi basi masela na sisi twendeni tukakabe maana hali idhakuwa ngumuvyeti feki vimemfukuzisha kazi
Ngumu kumesa,lakini ukweli ndo huoKazi ni kazi, kumbe ata kuvamia studio za watu nayo ni kazi basi masela na sisi twendeni tukakabe maana hali idhakuwa ngumu
Huo sio uungwana kabisa watu kufanya msiba arusha kua wakisiasa,,kama mbunge hajapata nafas ya kuhutubia au kutoa pole haizuii ukwel kwamba sio dhambi wala sio tatizo muhimu ni watoto kupumzishwa kwa amaniNgumu kumesa,lakini ukweli ndo huo
Huo urojo umenunua wapi???Ngumu kumesa,lakini ukweli ndo huo
Wapi ntapata namba yako ili nkuelekeze wauzapo maana ni mbali kidogoHuo urojo umenunua wapi???
Kidogo nimecheka!![emoji23] au niende forodhaniWapi ntapata namba yako ili nkuelekeze wauzapo maana ni mbali kidogo
Forodhani uende kufanya nini?Kidogo nimecheka!![emoji23] au niende forodhani
Nini akafanye uko zaid ya kupata rojo mubasharaForodhani uende kufanya nini?
mubashara ni sawa na moja moja ila weng hawalijuiNini akafanye uko zaid ya kupata rojo mubashara
Mubashara pambano la mpria litarushwa na BBC hewani...!!Nini akafanye uko zaid ya kupata rojo mubashara
Hawalijui maana neno lenyewe limeazimwa kutoka kwa waarabu mwezi juzi tu !!!mubashara ni sawa na moja moja ila weng hawalijui
Hawalijui kwasababu hakutafuta maanaMubashara pambano la mpria litarushwa na BBC hewani...!!
mubashara ni sawa na moja moja ila weng hawalijui
Maana wewe ulitukarinisha hata maji hukutupaHawalijui kwasababu hakutafuta maana