Kushangaa kwako kutakukosesha mengi. Hapa tunashindana nani atakuwa wa mwisho achukue ushindi. Chukua neno la mwisho la alieyekutangulia kupostKidogo nigongwe na basi LA mwendokasi kutokana na kushangaa
Kupost unadhani hajui anatupumbaza na kuharibu mchezo lkn Mungu anamuonaKushangaa kwako kutakukosesha mengi. Hapa tunashindana nani atakuwa wa mwisho achukue ushindi. Chukua neno la mwisho la alieyekutangulia kupost
kupost kwa huyo mgeni kunanifurahishaKushangaa kwako kutakukosesha mengi. Hapa tunashindana nani atakuwa wa mwisho achukue ushindi. Chukua neno la mwisho la alieyekutangulia kupost
Anamuona pia alivyokaa kwenye hiyo avatar yake hajui anayufanyia sexual harassment.Kupost unadhani hajui anatupumbaza na kuharibu mchezo lkn Mungu anamuona
Amri sita za Mungu unazijua??Harassment zangu kwa yule binti mbona alisalimu amri
Unazijua wewe?Amri sita za Mungu unazijua??
Wewe mwenyewe huzijuiUnazijua wewe?
Huzijui zile picha za yule mdadaWewe mwenyewe huzijui
Mdada gani huyo mnayemzungumziaHuzijui zile picha za yule mdada
Mnayemzungumzia kwenye hili jukwaa ni thatsitMdada gani huyo mnayemzungumzia
Thatsit anataka kujua amri sita za MunguMnayemzungumzia kwenye hili jukwaa ni thatsit
Mungu ni mwema saanaThatsit anataka kujua amri sita za Mungu
Mungu wa mbinguni atuhurumie sisi wanadamuThatsit anataka kujua amri sita za Mungu
Wanadamu na watu ni tofauti hujueMungu wa mbinguni atuhurumie sisi wanadamu
hujue!!! kiswahili nacho kigumuWanadamu na watu ni tofauti hujue
Mwanzo mgumuKigumu mwanzo
Mgumu kama niniMwanzo mgumu