mtapata kwa chadema kwa wanvyowadanganya halafu mtawakumbuka CCM lakini labda mtakuwa mmechelewa hawa jamaa ni wakuda wanajifanya wao ni malaika na kuwa CCM ni mashetani sawa kama nyie ni malaika mngekuwa mmechukua nchi miaka yote hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.