JMFarhan Member Joined Mar 12, 2017 Posts 28 Reaction score 24 Apr 30, 2017 #40,021 Kikamilifu katika namna ambayo itakuwa wazi kabisa
Zakumi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2008 Posts 5,063 Reaction score 2,492 Apr 30, 2017 #40,022 JMFarhan said: Kikamilifu katika namna ambayo itakuwa wazi kabisa Click to expand... Itakuwa wa kabisa kwa wanyonge, na sio kwa watawala.
JMFarhan said: Kikamilifu katika namna ambayo itakuwa wazi kabisa Click to expand... Itakuwa wa kabisa kwa wanyonge, na sio kwa watawala.
Juntazy Senior Member Joined Oct 4, 2016 Posts 104 Reaction score 109 Apr 30, 2017 #40,023 Zakumi said: Itakuwa wa kabisa kwa wanyonge, na sio kwa watawala. Click to expand... Watawala wanatakiwa kuwa makini juu ya uongozi wao
Zakumi said: Itakuwa wa kabisa kwa wanyonge, na sio kwa watawala. Click to expand... Watawala wanatakiwa kuwa makini juu ya uongozi wao
T thatsit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,870 Reaction score 2,915 Apr 30, 2017 #40,024 Juntazy said: Watawala wanatakiwa kuwa makini juu ya uongozi wao Click to expand... Wao wameshashiba lkn wanatutesa sisi wenye njaa
Juntazy said: Watawala wanatakiwa kuwa makini juu ya uongozi wao Click to expand... Wao wameshashiba lkn wanatutesa sisi wenye njaa
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,575 Apr 30, 2017 #40,025 thatsit said: Wao wameshashiba lkn wanatutesa sisi wenye njaa Click to expand... Njaa mbaya sana, inasababisha watu kukana misimamo yao na elimu zao.
thatsit said: Wao wameshashiba lkn wanatutesa sisi wenye njaa Click to expand... Njaa mbaya sana, inasababisha watu kukana misimamo yao na elimu zao.
T thatsit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,870 Reaction score 2,915 Apr 30, 2017 #40,026 Mwifwa said: Njaa mbaya sana, inasababisha watu kukana misimamo yao na elimu zao. Click to expand... Zao la karafuu Zanzibar limekosa kuwakomboa na umaskini wakulima wa zao hilo badala yake serikali pekee ndio inayonufaika
Mwifwa said: Njaa mbaya sana, inasababisha watu kukana misimamo yao na elimu zao. Click to expand... Zao la karafuu Zanzibar limekosa kuwakomboa na umaskini wakulima wa zao hilo badala yake serikali pekee ndio inayonufaika
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,575 Apr 30, 2017 #40,027 thatsit said: Zao la karafuu Zanzibar limekosa kuwakomboa na umaskini wakulima wa zao hilo badala yake serikali pekee ndio inayonufaika Click to expand... Inayonufaika sana na mamilioni ya kodi zetu katika nchi hii ni Faru Fausta
thatsit said: Zao la karafuu Zanzibar limekosa kuwakomboa na umaskini wakulima wa zao hilo badala yake serikali pekee ndio inayonufaika Click to expand... Inayonufaika sana na mamilioni ya kodi zetu katika nchi hii ni Faru Fausta
T thatsit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,870 Reaction score 2,915 Apr 30, 2017 #40,028 Mwifwa said: Inayonufaika sana na mamilioni ya kodi zetu katika nchi hii ni Faru Fausta Click to expand... Faru Fausta na Faru John ni viumbe waliozaliwa na bahati kubwa
Mwifwa said: Inayonufaika sana na mamilioni ya kodi zetu katika nchi hii ni Faru Fausta Click to expand... Faru Fausta na Faru John ni viumbe waliozaliwa na bahati kubwa
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Apr 30, 2017 #40,029 thatsit said: Faru Fausta na Faru John ni viumbe waliozaliwa na bahati kubwa Click to expand... Kubwa lao ni nyangumi na wala siyo tembo !!
thatsit said: Faru Fausta na Faru John ni viumbe waliozaliwa na bahati kubwa Click to expand... Kubwa lao ni nyangumi na wala siyo tembo !!
T thatsit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,870 Reaction score 2,915 Apr 30, 2017 #40,030 Zamiluni Zamiluni said: Kubwa lao ni nyangumi na wala siyo tembo !! Click to expand... Tembo ni neno lenye maana mbaya sana Makunduchi
Zamiluni Zamiluni said: Kubwa lao ni nyangumi na wala siyo tembo !! Click to expand... Tembo ni neno lenye maana mbaya sana Makunduchi
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Apr 30, 2017 #40,031 thatsit said: Tembo ni neno lenye maana mbaya sana Makunduchi Click to expand... Makunduchi ni jina au tafsida, tujuze kwanza?
thatsit said: Tembo ni neno lenye maana mbaya sana Makunduchi Click to expand... Makunduchi ni jina au tafsida, tujuze kwanza?
T thatsit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,870 Reaction score 2,915 Apr 30, 2017 #40,032 Zamiluni Zamiluni said: Makunduchi ni jina au tafsida, tujuze kwanza? Click to expand... Kwanza makunduchi ni kijiji kiliopo kusini mwa Zanzibar
Zamiluni Zamiluni said: Makunduchi ni jina au tafsida, tujuze kwanza? Click to expand... Kwanza makunduchi ni kijiji kiliopo kusini mwa Zanzibar
amsr JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 259 Reaction score 303 Apr 30, 2017 #40,033 thatsit said: Kwanza makunduchi ni kijiji kiliopo kusini mwa Zanzibar Click to expand... Zanzibar ni njema atakae na aje
thatsit said: Kwanza makunduchi ni kijiji kiliopo kusini mwa Zanzibar Click to expand... Zanzibar ni njema atakae na aje
T thatsit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,870 Reaction score 2,915 Apr 30, 2017 #40,034 amsr said: Zanzibar ni njema atakae na aje Click to expand... Aje leo aje aje na wenzake aje, ni nyimbo niipendayo ya alikiba
amsr said: Zanzibar ni njema atakae na aje Click to expand... Aje leo aje aje na wenzake aje, ni nyimbo niipendayo ya alikiba
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Apr 30, 2017 #40,035 amsr said: Zanzibar ni njema atakae na aje Click to expand... Aje au iweje.. ikiwa babu yangu alitokea huko nami ntafikaje Zenjibar ?!?
amsr said: Zanzibar ni njema atakae na aje Click to expand... Aje au iweje.. ikiwa babu yangu alitokea huko nami ntafikaje Zenjibar ?!?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,575 Apr 30, 2017 #40,036 Zamiluni Zamiluni said: Aje au iweje.. ikiwa babu yangu alitokea huko nami ntafikaje Zenjibar ?!? Click to expand... Zenjibar ni neno ambalo limetohoa neno la kisayansi linaloitwa Zingiber officinale
Zamiluni Zamiluni said: Aje au iweje.. ikiwa babu yangu alitokea huko nami ntafikaje Zenjibar ?!? Click to expand... Zenjibar ni neno ambalo limetohoa neno la kisayansi linaloitwa Zingiber officinale
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,118 Apr 30, 2017 #40,037 Mwifwa said: Zenjibar ni neno ambalo limetohoa neno la kisayansi linaloitwa Zingiber officinale Click to expand... Officinale ni kurasimisha...!!
Mwifwa said: Zenjibar ni neno ambalo limetohoa neno la kisayansi linaloitwa Zingiber officinale Click to expand... Officinale ni kurasimisha...!!
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Apr 30, 2017 #40,038 Mwifwa said: Zenjibar ni neno ambalo limetohoa neno la kisayansi linaloitwa Zingiber officinale Click to expand... Zingiber officinale kwa jina lingine ni ginger
Mwifwa said: Zenjibar ni neno ambalo limetohoa neno la kisayansi linaloitwa Zingiber officinale Click to expand... Zingiber officinale kwa jina lingine ni ginger
amsr JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 259 Reaction score 303 Apr 30, 2017 #40,039 Mwifwa said: Zenjibar ni neno ambalo limetohoa neno la kisayansi linaloitwa Zingiber officinale Click to expand... Offinale na zingiber yana maana gani ? Na kama kweli neno zanzibar limetoholewa kutoka kwa hayo maneno basi tudhibitishie
Mwifwa said: Zenjibar ni neno ambalo limetohoa neno la kisayansi linaloitwa Zingiber officinale Click to expand... Offinale na zingiber yana maana gani ? Na kama kweli neno zanzibar limetoholewa kutoka kwa hayo maneno basi tudhibitishie
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,198 Apr 30, 2017 #40,040 amsr said: Offinale na zingiber yana maana gani ? Na kama kweli neno zanzibar limetoholewa kutoka kwa hayo maneno basi tudhibitishie Click to expand... Tudhibitishie sio neno la kiswahili labda cha kwenu huko utokako
amsr said: Offinale na zingiber yana maana gani ? Na kama kweli neno zanzibar limetoholewa kutoka kwa hayo maneno basi tudhibitishie Click to expand... Tudhibitishie sio neno la kiswahili labda cha kwenu huko utokako