Neutral catalyst
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 261
- 147
Mirerani hawaendi watoto wa mamaUnga pamoja na plama tunazisnif huku mirerani
Mirerani hawaendi watoto wa mamaUnga pamoja na plama tunazisnif huku mirerani
Sembe la eno ni wimbo mzuri wa edy kenzounga bora ni dona sio sembe
Mama alishaniambia mwanangu kuwa uyaoneMirerani hawaendi watoto wa mama
uyaone maisha sio maghorofaMama alishaniambia mwanangu kuwa uyaone
Maghorofa gani ya NHC au ya kwenu?uyaone maisha sio maghorofa
Dar naskia wanaume wengi nyoronyoroKwenu wapiiii. Mi kwetu dar!
Nyoronyoro wengi wanaishia kuliwa jichoDar naskia wanaume wengi nyoronyoro
Jicho langu linaona mbali saana mfano tu namwona roma yule paleNyoronyoro wengi wanaishia kuliwa jicho
Pale wapi mbona bado wanamtaftaJicho langu linaona mbali saana mfano tu namwona roma yule pale
Wanamtafuta wajinga tu ila wajanja tulishajua alipo zamaniPale wapi mbona bado wanamtafta
Zamani ipi wakati kapotea juziWanamtafuta wajinga tu ila wajanja tulishajua alipo zamani
Juzi unapaona ni karibu? Hivi wewe umeenda hata shule kweli?Zamani ipi wakati kapotea juzi
Kweli? Unajiuliza au unaniuliza? Shule nmeenda sna lakini sio kigezoJuzi unapaona ni karibu? Hivi wewe umeenda hata shule kweli?
Kigezo ulichonacho labda ukaajiriwe kwenye shamba la kupalilia upupuKweli? Unajiuliza au unaniuliza? Shule nmeenda sna lakini sio kigezo
Upupu utakuwasha wwe unayejiona msomi na kuushikaKigezo ulichonacho labda ukaajiriwe kwenye shamba la kupalilia upupu
Kuushika uume mbele ya watu ni kitendo kibaya na yatupasa tukilaani kwa nguvu zote.Upupu utakuwasha wwe unayejiona msomi na kuushika
Yanamwanya lkn yameachiana nafasi kama kitana cha nyweleYako meno sidhani kama yanamwanya.
Nywele zangu zimesimama kisa umevunja sheria za uzi maana ni kumqoute wa juu yako.Yanamwanya lkn yameachiana nafasi kama kitana cha nywele
Yako akili imeyumba bila shakaNywele zangu zimesimama kisa umevunja sheria za uzi maana ni kumqoute wa juu yako.