Wa mwisho ndiyo mshindi

Huku kwetu nilipigwa ganzi kamanda wangu, ila tupo pamoja sana gbefa, vipi mamaafacebook yupo wapi, nawasalimu wote in jesus name amen
 
Mi mshindi!
Patatobolekishwa linatokana na neno toboa ambalo linaweza kunyambuliwa na kuzaa maneno mengine km;

*Toboa, tobolewa toboleshwa toboleka toboleshana, toboana toboka nk.
Nk mkuu tupo pamoja mkuu, halafu tupo kwenye jukwaa la jokes [emoji13] [emoji13] so never mind my jokes, utani mwingi ndiyo habari ya hapa, sijakurekebisha kwa maana nyingine mkuu bali utani, you dont need to takes my jokes seriously
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…