Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

yanayojulikana ni kwamba wewe ni noma kwa vina, naomba twende tu studio tukarekodi track moja yenye verse moja
Moja mbili Tatu moja, gwaride litanyosha mistari kutoka kulia, kutoka kulia mistari nyosha mo mbi.. Dah nakumbuka kj michungwani, mkuu nakusalimu bhanah msalimie na sakayo nimewakumbuka sana napita tu kuwajulia hali, usiku mwema
 
Kimaisha hutakiwi kuleta mbwembwe pacha kwenye swala la mahari, lipia mahari kijana kisha mchukue baby ukaishi naye kimwana, kama unampenda mahari sio kitu whatever it is atakua ni wako pekee
Pekee wapi pacha!!wanaojifanya vishababi nao wanataka humohumo km walisaidia kulipa mahari[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji32]
 
Moja mbili Tatu moja, gwaride litanyosha mistari kutoka kulia, kutoka kulia mistari nyosha mo mbi.. Dah nakumbuka kj michungwani, mkuu nakusalimu bhanah msalimie na sakayo nimewakumbuka sana napita tu kuwajulia hali, usiku mwema
Mwema our former IGP, niaje mpwa habari ya familia huko nyumbani wote wazima, wasalimie sana.
 
Back
Top Bottom