Nono supermarket Mwanza ni Pa ckumingiLakini aisha hao tembo na mbwa nyumbani mbona ni vizingiti kwetu, mwanangu ajambo unajua anaitwa nani? ukipatia JINA anaitwa nani nitakupatia zawadi zawadi yako nono
Mdogo ni aisha peke yakeMkuu ni kila mtu huku jf ss sjui nani ni mdogo?
Sisi hakuna wakuzima mshumaa wetu wa upendo daima mileleHunipendi sababu gani, Mungu hapendi ujue, kasema tupendane sisi kwa sisi
Nono au nene jamanii, Aisha ukuje huku utabiri tukanywe walau juiceLakini aisha hao tembo na mbwa nyumbani mbona ni vizingiti kwetu, mwanangu ajambo unajua anaitwa nani? ukipatia JINA anaitwa nani nitakupatia zawadi zawadi yako nono
Au anatudanganya aisha mchokozi sanaLakini Aisha mwaka 2016 si umeisha au
Yake tabia yanivutiaMdogo ni aisha peke yake
Sana abadili aweke 2017 bhanaAu anatudanganya aisha mchokozi sana
Milele aminaSisi hakuna wakuzima mshumaa wetu wa upendo daima milele
Kupenda kwa hitaji upendo, Uvumilivu na heshima. Ukiwa na hayo yote kwa umpendae maisha utayaona paradiso
Mahari hatujadili hapa baby, acha baba mkwe ataje mahitaji nitimize ahadi babySakayo ndo nshapendwaaa tena huku jamani, black women hebu anza kudai mahari
Sakayo ni mzur sana jmnParadiso umeshawahi kufika sakayo
Banaa haiwezekani kubadilishaSana abadili aweke 2017 bhana
Sana sana inatubidi leo tunywe juice na pipiAu anatudanganya aisha mchokozi sana
Nono kama ipi nisije kupoteza nguvu kukisia afu nisipate zawadi ya maanaLakini aisha hao tembo na mbwa nyumbani mbona ni vizingiti kwetu, mwanangu ajambo unajua anaitwa nani? ukipatia JINA anaitwa nani nitakupatia zawadi zawadi yako nono
Yanivutia pia tabia yako, macho yako, uso wako, mimi kila kitu hoi baby wangu sakayo , je kuna mwenye kipangamizi aje hapa asemeYake tabia yanivutia
Ckumingi cjakuonaNono supermarket Mwanza ni Pa ckumingi
Pekee yake aisha ni mbibi [emoji14] jmmMdogo ni aisha peke yake
Aseme nn akat kashakukubali kimoyomoyoYanivutia poa tabia yako, macho yako, uso wako, mimi kila kitu hoi baby wangu sakayo , je kuna mwenye kipangamizi aje hapa aseme
Maana ningependa umtaje jina mtoto wangu ili nijue wewe ni mzee wa upako mtabiri wa ukweli ili nikupe zawadi halafu zawadi ni suprise, aisha changamkia fursaNono kama ipi nisije kupoteza nguvu kukisia afu nisipate zawadi ya maana
Jamani acha tu kasakayo kazuri, ila aisha mbona namge anakusifia sana uzuri wako pia.Sakayo ni mzur sana jmn