Sema animiss na Mimi pia ndio maana namkimbia...Hujamuona huko jamani, msalimie maana nikiwepo ananikwepa nikiondoka anaanza sema animiss
Mamy mapinduzi n kulalaUjumbe wake ameshauona ila anaona aibu kujibu.
Mapinduzi vipi mamy
Kabisa tangu uliponinyima Mdogo wako upendo umepungua kiasi wewe nipe uone utarise kama vita ya mashariki ya mbaliHajaja yaani, dogo sikuhizi simuelewagi kabisa
Hahahahhah[emoji23] [emoji23] SITAKI capital letters hahahaha jamani kweli tupo kwenye mapinduzi maana unataka kufanya mapinduzi hapa hapa maama kituko ushemeji utapigwa teke kule hahahahaa mamaafacebook huwa una utani unao karibia ukweli wewe[emoji23] [emoji23]Forever [emoji23][emoji23][emoji23] you want me to be your gelofrendi? Hahahhahahahaha
Kulala ni usiku, sasa kama wewe usiku inautumia kukichwi kwichi shauri yako ole wake na haugeuzae usiku kuwa mchanaMamy mapinduzi n kulala
Hapa hahahahhahaha nimesomaNakupenda mpenzi ukisoma hapa
Kabisa dogo sijuwi anasoma ila hata mimi nammiss mdogo wangu gbefa maana kanajua kuharibu deal za watu wakubwa, anajua kufitinisha, anajua mengi dogo yani atakua yupo vizuri sana class kama mimi kaka yake enzi za chuoHajaja yaani, dogo sikuhizi simuelewagi kabisa
Kweli mhmhhhhhHapa ndo ninapogundua sio kila mmoja ana mapenzi ya kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]was joking aiseeeeeeey usinigombanishe mieHahahahhah[emoji23] [emoji23] SITAKI capital letters hahahaha jamani kweli tupo kwenye mapinduzi maana unataka kufanya mapinduzi hapa hapa maama kituko ushemeji utapigwa teke kule hahahahaa mamaafacebook huwa una utani unao karibia ukweli wewe[emoji23] [emoji23]
Mchana pia nalalaKulala ni usiku, sasa kama wewe usiku inautumia kukichwi kwichi shauri yako ole wake na haugeuzae usiku kuwa mchana
Nimesoma nilichoandika sikukuandikia weweHapa hahahahhahaha nimesoma
Mimi sijasemsWake mimi
Nalala kwa sababu nilichoka na shughuli ya usikuMchana pia nalala
Mie nitakunong'oneza kitu baadae, eti mamaafacebook, hivi tanga kuna dawa za mapenzi maana mkoa wa Tanga mhmhh hamjambo, nataka dawa ila sio za wapiga ramli nataka kitu kisicho mkwaza Mungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]was joking aiseeeeeeey usinigombanishe mie
Mchana jua lote hili una gonga show mhmh mdogo wangu hebu kasome kesho una testKulala ni usiku, sasa kama wewe usiku inautumia kukichwi kwichi shauri yako ole wake na haugeuzae usiku kuwa mchana
Chuo chenu ulikuwa unakimbiza kwa kutoka na mamanzi wakali kama sakayo mvalishwa viatu bisha kaka!Kabisa dogo sijuwi anasoma ila hata mimi nammiss mdogo wangu gbefa maana kanajua kuharibu deal za watu wakubwa, anajua kufitinisha, anajua mengi dogo yani atakua yupo vizuri sana class kama mimi kaka yake enzi za chuo
Mungu anakuona hujue kaka, si una mke wewe?Mie nitakunong'oneza kitu baadae, eti mamaafacebook, hivi tanga kuna dawa za mapenzi maana mkoa wa Tanga mhmhh hamjambo, nataka dawa ila sio za wapiga ramli nataka kitu kisicho mkwaza Mungu