Wa mwisho ndiyo mshindi

Genge tulichangamshe wote kaka, mambo vipi jamaa
Jamaa hapa pouwa tu, nipo na my kid, my best friend, my love, my everything, my princess ninamtembeza kidogo leo anafurahi sana kuona yupo so close na daddy ake, ila jamani wanaume mkizalisha sio mnawakimbia watoto hiyo laana itakutafuna popote huendapo, nimeona kuna wimbi kubwa wanaume kuzikimbia familia zao, kuna uzi mwanadada mmoja aliauanzisha hapa JF akilalamika kwa uchungu namna baba mtoto kamkimbia kamuachia mtoto na majukumu yote inatia hasira sana, Mungu huwa amuachi mwanamke akilia huwa anamjibu kilio chake na ni lazima mwanaume uisome namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…