Mhmhhh nakupenda sana wewe jamani sema mhmhh...., unajifanya unakimbia huna break.... Wat do you expectSakayo naendelea vizuri mwayaa kaka yangu, Mungu ni mwema anazidi kunitia nguvu. Penda wewe sana toxic9 sema Mmmh
Except more love from me, mdogo wangu gbefa hajambo lakini mwambie nammiss sana nisipoona salamu yakeMhmhhh nakupenda sana wewe jamani sema mhmhh...., unajifanya unakimbia huna break.... Wat do you expect
Tutajaribu lakini mambo ya kuficha week nzima, unanipa jumatano na jumapili acha zako,Tunaweza kama tutajaribu
Yake tabia ya kupotea humu jukwaani sio vizuri, mwambie arudi.Except more love from me, mdogo wangu gbefa hajambo lakini mwambie nammiss sana nisipoona salamu yake
Zako nguo umefua lakiniTutajaribu lakini mambo ya kuficha week nzima, unanipa jumatano na jumapili acha zako,
Arudi tu maana hamna namna sasaYake tabia ya kupotea humu jukwaani sio vizuri, mwambie arudi.
Mmmmh!! Ulikuwa unaumwa kumbe mkuu Sakayo.Sakayo naendelea vizuri mwayaa kaka yangu, Mungu ni mwema anazidi kunitia nguvu. Penda wewe sana toxic9 sema Mmmh
Arudi huku atusalimie ,gbefa njooYake tabia ya kupotea humu jukwaani sio vizuri, mwambie arudi.
Wangu naumwaa hadi napona we hujui hilo, Asantee mwayaa naendelea vizuri mpendwaMmmmh!! Ulikuwa unaumwa kumbe mkuu Sakayo.
Pole sana mpendwa wangu
Njoo kwetu leo ule chakula tumepika wali na Samaki.Arudi huku atusalimie ,gbefa njoo
Mpendwa nilikuwa sijui jamani kama una umwa eti!!Wangu naumwaa hadi napona we hujui hilo, Asantee mwayaa naendelea vizuri mpendwa
Samaki napenda kweli, niagizie nije kulaNjoo kwetu leo ule chakula tumepika wali na Samaki.
Kula utakula tu ila pa kulala wapiSamaki napenda kweli, niagizie nije kula
Matunda ukiyaleta nitashikuru, kumbe kuna muda huwa una hurumaMpendwa nilikuwa sijui jamani kama una umwa eti!!
Nakuletea matunda
Huruma kwa wanaume wa kisukuma ndo Jadi yetu mkuu.Matunda ukiyaleta nitashikuru, kumbe kuna muda huwa una huruma
Wapi zaidi ya kwetu jamaniiKula utakula tu ila pa kulala wapi
Mkuu nafurahia kusikia hivyoHuruma kwa wanaume wa kisukuma ndo Jadi yetu mkuu.
Jamani hata hapa kwetu panafaa wewe kulala mkuu maana nipo peke yangu tu nyumbani.Wapi zaidi ya kwetu jamanii
Hivyo bhasi ufanye uje mkuuMkuu nafurahia kusikia hivyo
Yake salamu imefika kwa dogo gbefa,i expect genuine love from you dear one,Except more love from me, mdogo wangu gbefa hajambo lakini mwambie nammiss sana nisipoona salamu yake