Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Noma sana coz hali ya kiuchumi ni tete kila mtu anatafuta pa kukimbilia.. Mm cjui nielekee wapMsaada akingoja basi atangoja sana, angalau hata profesa jay mheshimiwa alienda kumtembelea na kumpa moyo, bongo noma sana
Wapi unataka uelekee tukutafutie nauli?Noma sana coz hali ya kiuchumi ni tete kila mtu anatafuta pa kukimbilia.. Mm cjui nielekee wap
Wapi unataka kukimbilia Aishah kwani, mkimbia matatizo sio mtafuta suluhu unajuwaNoma sana coz hali ya kiuchumi ni tete kila mtu anatafuta pa kukimbilia.. Mm cjui nielekee wap
Nauli tumchangie, achague tu anataka aende wapiWapi unataka uelekee tukutafutie nauli?
Wapi tena zaidi ya hapahapa JFNauli tumchangie, achague tu anataka aende wapi
Mamaafacebook anaumwaUnalonitafuta ndiyo nini mamaafacebook
Shemejiiiiii ndioKituko anafurahisha sana, kwahiyo kituko na wewe ni mtu na shemejiiiiiiiii
Ndio kama magari ya zimamoto yanapita njia za mwendokasi na bado yanachelewa eneo la tukio[emoji12] [emoji12] [emoji12]Shemejiiiiii ndio
Tanzania ni nchi nzuri sana ila kuna baadhi ya watu wanaiharibu.tukio lile limeiaibisha tanzania
Haikuwepo ila mm nlikuwepoBC Tanzania haikuwepo
Nilikuwepo kukusubiri weweHaikuwepo ila mm nlikuwepo
Ww ulikuwa wap mbona ckukuonaNilikuwepo kukusubiri wewe
Anaumwa nini tena jamani, au tarehe zenu zile za mweziMamaafacebook anaumwa
Sikukuona ukipita nilipokuaWw ulikuwa wap mbona ckukuona
Mwezi umekwishaAnaumwa nini tena jamani, au tarehe zenu zile za mwezi
BC ulikukuwepo nyangema??..wanaiharibu wapi ishagaHaribika tokea BC