50% ni kubwa sana kwao, wanastahili 20% ya maamuzi ya majukumu ya ndani na watotoHuku naona wanatupaka matope mkuu, wanawake tunawatimizia kila kitu lakini hawana shukrani, kwanza haki sawa 50% to 50%
Nizipende au nisizipende, kama sina, sina tu. Tena mara nyinyi wanazipenda saanaaa wanakuwaga hawana pesaPesa pesa sabuni ya roho, jidanganye usipende pesa acha mimi nizipende
Pesa ni kila kituNizipende au nisizipende, kama sina, sina tu. Tena mara nyinyi wanazipenda saanaaa wanakuwaga hawana pesa
Pesa ni kila kitu
Utu wangu umeniponza, Jamani nipeni pole na ahuweni....!!Kitu si zaidi ya utu
UTU ndiyo zaidi, wanadhani pesa ni kila kitu ndo hao tunawalalamikia kila kukichaKitu si zaidi ya utu
Pesa haina mwenye nayo ila humfuata mwenye kuitaka, pesa humfuata anayezitafuta kwa jasho mwenye mikakati leo zaidi ya jana kwa kuwa anatia juhudi kuzitafuta leo kuliko jana yake, wewe huna ndiyo maana una bwabwaja, wanaozitafuta wanazo na wanazipenda pia wakina mo_dewj, mengi, rostam, lowasa wewe zubaa kaa kiboyaNizipende au nisizipende, kama sina, sina tu. Tena mara nyinyi wanazipenda saanaaa wanakuwaga hawana pesa
Wimbo huo hata kuisikiliza nimeshindwaUjue manfongo kaimba ukuda yani hakunaga ushemiji tunakulaga tu... Napenda mdundo tu ila sio maudhui ya wimbo
Ahuweni ushapata mkuu wangu hebu eleza yaliyokusibuUtu wangu umeniponza, Jamani nipeni pole na ahuweni....!!
Ahuweni na pole Zumi wa mie... Nini kilikupataUtu wangu umeniponza, Jamani nipeni pole na ahuweni....!!
Yaliyokusibu ni yapiAhuweni ushapata mkuu wangu hebu eleza yaliyokusibu
Yapi zaidi ya hali inayoendelea katika nchi yanguYaliyokusibu ni yapi
Yangu yananiendea kwa uwezo wa MunguYapi zaidi ya hali inayoendelea katika nchi yangu
Mungu ndio kila kituYangu yananiendea kwa uwezo wa Mungu
Kitu ninachotamani kuanza kwa mwaka mpya na kuweka mikakati mingineMungu ndio kila kitu
Mithili ya simbaMkali mithili gani
Kaa kiboya ndio namna ganiPesa haina mwenye nayo ila humfuata mwenye kuitaka, pesa humfuata anayezitafuta kwa jasho mwenye mikakati leo zaidi ya jana kwa kuwa anatia juhudi kuzitafuta leo kuliko jana yake, wewe huna ndiyo maana una bwabwaja, wanaozitafuta wanazo na wanazipenda pia wakina mo_dewj, mengi, rostam, lowasa wewe zubaa kaa kiboya
Banah au Bwana au buanahNani kama mama, my mama banah