Wa mwisho ndiyo mshindi

Jamiiforums ndiyo yumo humu humu na ananichora tu muda huu maana hajalala japo aliniaga kuwa anausingizi anataka alale.
Alale akipata usingizi pengine hayuko sawa ndio maana bado unamuona lol nimecheeeeka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kumzingua
 
Pia ufaham waongo ni wengi nahisi hakuamini labda
Labda itakuwa hivyo ila kwa upande wangu siwezi kuwa muongo kwake maana tayari kashanikaa kunako.

Ningependa anielewe tu kuwa nampenda na nakoswa usingizi kwa ajili ya kumuwaza yeye tu kwa jinsi alivyo mzuri sura, roho na mwili.
 
Mwili roho na sura umevijuaje au mlishawah kuwasiliana hapo kabla don't judge the book by its cover sweetheart!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…