Isaac nyonyox
Member
- Mar 11, 2015
- 60
- 21
Ngoma Kali za toka kwa kina 

mondi


mondi

mondiWay singularHumu ehh yah siwezi bisha you never know maybe yes, people fall in love in mysterious way
Migegedoni mingi inafanyika usiku wa manane ila mgegedo ya asubuhi tamu sana.Wapi inakaa naona tumeahamia migegedoni
KisasaPanda gari uje nikuoneshe mchepuko wangu wa kisasa
Ngoma ya watoto haikeshiHofu utaipata siku umeenda hospitali kupima ngoma
Haaa!! usaliti huuSakayo nakupenda bure
Koti la babu halikoswi chawaImesimama tundika koti
Sana unaonesha unayapenda Mambo hayo vipi kuhusu kesi ya maxence melloMigegedoni mingi inafanyika usiku wa manane ila mgegedo ya asubuhi tamu sana.
Hizi zake tamu sana maana hazina gharamaWay singular
Ways plural
Usiniongeleshe kiinglishi usiku saaaaa hizi
Chawa wakoje sijawah kuwaonaKoti la babu halikoswi chawa
Gharama Gani unasemeaHizi zake tamu sana maana hazina gharama
Kuwaona ni ngumuChawa wakoje sijawah kuwaona
Mello hata sijui anaendeleaje kwa kweli maana sikuwa hewani muda.Sana unaonesha unayapenda Mambo hayo vipi kuhusu kesi ya maxence mello
Huu n usiku subiri kukucheHaaa!! usaliti huu
Ngumu kivipi??Kuwaona ni ngumu
Kuwaona mpaka uwe mchafu au uishi na mtu mchafuChawa wakoje sijawah kuwaona
Muda umewadia wa Mimi kulaza ubavu wangu salamu kwa my babu na my best kaka supermarketMello hata sijui anaendeleaje kwa kweli maana sikuwa hewani muda.
Mchafu sana kichaa yuleKuwaona mpaka uwe mchafu au uishi na mtu mchafu
Unasemea watu umbaya wao wakati wewe mwenyewe huna hata king'amuziGharama Gani unasemea
King'amuzi kwa huku kwetu n aina ya mkorogoUnasemea watu umbaya wao wakati wewe mwenyewe huna hata king'amuzi