Kibuti ni noma na usiombe upigwe kibuti kwa sababu ya jamaa mwingine kisa ana vitz tuWachache sana babies wa ukweli kuwakuta mjini ambao hawapigi kibuti
Bongo ndio ingawa babes wazuli kama wewe ni wachache
Baby wangu mchoyo wewe hata karibu!Friends for benefit... Hi baby
Bongo ehhhhhh bongo dar es Salaam.... aliyetoa cheni bandia kapewa pesa bandiaBaby bongo?
Jumapili??? Mhmhh tena mbona unarudisha siku nyuma, umeenda kanisa kwahiyoTena nlijua leo ni jumapili
Karibu utaipata baby subiri ifike sikuku ya wakubwaBaby wangu mchoyo wewe hata karibu!
Wakubwa wengi nchi hii,wametoka familia maskini.Karibu utaipata baby subiri ifike sikuku ya wakubwa
Wakubwa ni ile ya valentine, but ipo mbali sana my dear,Karibu utaipata baby subiri ifike sikuku ya wakubwa
My dear Mimi na wewe sio lazima tusubiri valentine... Sikuku ya wakubwa na kupanga tu iwe liniWakubwa ni ile ya valentine, but ipo mbali sana my dear,
Lini hata leo eti baby, hivi umeniletea senene wewe,My dear Mimi na wewe sio lazima tusubiri valentine... Sikuku ya wakubwa na kupanga tu iwe lini
Wewe mbona hukuja kula pilau janaLini hata leo eti baby, hivi umeniletea senene wewe,
Jana wewe si ndo ulitangaza tusije?Wewe mbona hukuja kula pilau jana
Wewe senene zipo,tukionana ntakupatiaLini hata leo eti baby, hivi umeniletea senene wewe,
Jana nimekuja, i was at your door step nimegonga hufungui wala hujigusi i decided to leave, nimeacha ki_note mlangoni hujakiona? Kisome kwanzaWewe mbona hukuja kula pilau jana
Tusije mchapa tena maana alitukataza halafu sahivi anajidai hapaJana wewe si ndo ulitangaza tusije?
Ntakupatia tamu ukija na seneneWewe senene zipo,tukionana ntakupatia
Senene ushapataNtakupatia tamu ukija na senene
Ushapata tamuSenene ushapata
Senene wapo kwetu Bukoba karibuni wakuuNtakupatia tamu ukija na senene