mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Sana n pale unachoozungumza hakielewekiKigumu sana
Sana n pale unachoozungumza hakielewekiKigumu sana
Hakieleweki kama hutii jitihada za dhati kabisa kujifunzaSana n pale unachoozungumza hakieleweki
Kujifunza Bila kufundishwa wakat mwingine n kuumiza ubongo kufikiri zaidiHakieleweki kama hutii jitihada za dhati kabisa kujifunza
Zaidi na zaidi ni upende kufanya bila kusubiri kufanyiwa... Wazungu wangapi, ni wengi sana wakija Afrika wanajifunza lugha pasipo fundishwa japo wanapata cha kuzungumza kwanini mzao wewe usiongeze jitihada kujifunza na ukaimalika na kuborosha lugha yako ya nyumbaniKujifunza Bila kufundishwa wakat mwingine n kuumiza ubongo kufikiri zaidi
Nyumbani kwenu unaonesha ni mwalimu wa lugha weweZaidi na zaidi ni upende kufanya bila kusubiri kufanyiwa... Wazungu wangapi, ni wengi sana wakija Afrika wanajifunza lugha pasipo fundishwa japo wanapata cha kuzungumza kwanini mzao wewe usiongeze jitihada kujifunza na ukaimalika na kuborosha lugha yako ya nyumbani
Wewe mamaafacebook II kwanini ulipenda sana kujiita hivyo nielezee historia fupi jina mamaafacebook II lilianzia wapi??Nyumbani kwenu unaonesha ni mwalimu wa lugha wewe
mwisho wa ubaya ni aibu.Yanabanaje Na hujamkwot wa mwisho
Wapi hiyo ilianzia Facebook kipindi cha miaka ya 2011 ndipo nilikuaga Facebook addict nikabatizwa hilo japokwa Sasa Sina ham Na hiyo fb yenyeweWewe mamaafacebook II kwanini ulipenda sana kujiita hivyo nielezee historia fupi jina mamaafacebook II lilianzia wapi??
Fb yenyewe uliipendea niniWapi hiyo ilianzia Facebook kipindi cha miaka ya 2011 ndipo nilikuaga Facebook addict nikabatizwa hilo japokwa Sasa Sina ham Na hiyo fb yenyewe
Yenyewe id yako imetulia, basi nafurahi kukufahamuWapi hiyo ilianzia Facebook kipindi cha miaka ya 2011 ndipo nilikuaga Facebook addict nikabatizwa hilo japokwa Sasa Sina ham Na hiyo fb yenyewe
Kukufaham Na wewe nigependa iwe hivyoYenyewe id yako imetulia, basi nafurahi kukufahamu
Nini chamaana zaidi ya likes Na commentsFb yenyewe uliipendea nini
Hivyo hivyo mimi ni bwana sumu, dawa yake ni maziwa, chanzo cha hii id ni mapenzi, nilishawahi kuumizwa sana kwenye tasnia hii ya mahabaKukufaham Na wewe nigependa iwe hivyo
comments nyingine zinaburudisha.Nini chamaana zaidi ya likes Na comments
Zinaburudosha Mkuu? Kivipicomments nyingine zinaburudisha.
Mahaba hayana commando Kila mmojawetu hupitia njia hii yataka utashi wa akili yako Na moyo wako kuukabili mtihani huoHivyo hivyo mimi ni bwana sumu, dawa yake ni maziwa, chanzo cha hii id ni mapenzi, nilishawahi kuumizwa sana kwenye tasnia hii ya mahaba
Kivipi zaidi ya komediZinaburudosha Mkuu? Kivipi