Ngozi yako kama ina matatizo usitegemee kuwa itapona kwa maji ya bahari kumuona dr na kufanya vipimo ni muhimuKuogelea baharini kuna faida kubwa hasa kwa kusafisha nyota, kuimarisha meno na magonjwa ya ngozi
Mungu muweza wa yoteMuhimu san kumshukuru mungu
Yote tisa kumi leo mnyama achomoki kwa NdandaMungu muweza wa yote
ndanda spring water ni maji ya kunywa yatokayo masasi.Yote tisa kumi leo mnyama achomoki kwa Ndanda
Ndanda ndo nini tena?Yote tisa kumi leo mnyama achomoki kwa Ndanda
Tena ujifunze kusoma magazeti upande wa MICHEZO utaijua Nanda sports club !!!😛Ndanda ndo nini tena?
Club yetu mpaka sasa ndo inaongoza ligiTena ujifunze kusoma magazeti upande wa MICHEZO utaijua Nanda sports club !!!😛
Ligi ya msimu huu sijaifuatilia kabisaClub yetu mpaka sasa ndo inaongoza ligi
Kabisa mkuu usipate tabu ya kuifuatilia kila siku bingwa anajulikana tayariLigi ya msimu huu sijaifuatilia kabisa
Waungwana siku hizi wamebakia majinaTayari nimeshapika waungwana
Majina mazuri mpaka unajiakia furaha tu wakikutambulisha jinaWaungwana siku hizi wamebakia majina
Jina langu la ukooo ni fulaniMajina mazuri mpaka unajiakia furaha tu wakikutambulisha jina
Fulani umepotea sana siku hizi mkuuJina langu la ukooo ni fulani
Imeendaje na pande zako, pande zangu niko poaMkuu jumapili imeendaje