Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Singida na mgeni rasmi ni mh majaliwa
singida ni karibu na dodoma.Maulid maadhimisho yamefanyika mkoani Singida
Dodoma ndiko makao makuu ya nchi yaliposingida ni karibu na dodoma.
yalipo makao ya simba ni msimbazi street.Dodoma ndiko makao makuu ya nchi yalipo
Msimbazi street ni karibu na anapoishi ba mkwe mtarajiwayalipo makao ya simba ni msimbazi street.
mtarajiwa wa urais 2025 itakuwa kimbembe.Msimbazi street ni karibu na anapoishi ba mkwe mtarajiwa
Kimbembe gani, tuombe uzima wala hapatakuwa na shidamtarajiwa wa urais 2025 itakuwa kimbembe.
shida haina tajiri wala masikini.Kimbembe gani, tuombe uzima wala hapatakuwa na shida
Masikini wee yaliyomkuta ni maswaibu yasiyoelezeka.....shida haina tajiri wala masikini.
Maskini aweza kuwa tajiri kama ataongeza juhudi ya kufanya kazishida haina tajiri wala masikini.
yasiyoelezeka ni ngumu kutatulika.Masikini wee yaliyomkuta ni maswaibu yasiyoelezeka.....
kazi kujiajiri kuajiriwa nayo imekuwa kazi kuipata kazi.Maskini aweza kuwa tajiri kama ataongeza juhudi ya kufanya kazi
Kazi ni kazi mradi unapata kipatokazi kujiajiri kuajiriwa nayo imekuwa kazi kuipata kazi.
kipato hakitoshelezi mahitaji ni ngumu kuendelea.Kazi ni kazi mradi unapata kipato
Kuendelea utaendelea kama utaongeza juhudi na maarifa katika kufanya kazi na kuweka akibakipato hakitoshelezi mahitaji ni ngumu kuendelea.
akiba haiozi wahenga walisema.Kuendelea utaendelea kama utaongeza juhudi na maarifa katika kufanya kazi na kuweka akiba
Walisema pia kidogo kidogo hujaza kibabaakiba haiozi wahenga walisema.
kibaba ni kipimo cha kizamani.Walisema pia kidogo kidogo hujaza kibaba
Kizamani tena palikuwa hapana mizani ya kupima nafakakibaba ni kipimo cha kizamani.