Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Tumeenda kutembea
Kutembea tembea kusafisha macho kigamboni na cocobeachTumeenda kutembea
Kule kuzuri sana kuna beach kama nzuri tingatinga, ushongo na muingiliano wa maji ya mto na bahariPangani tanga ndipo mama yangu alipozaliwa Ila sijawah kufika kule
Sana Zaid ya kifoBahari huwa naiogopa san
Sana sana mawimbi wa bahar yakiwa makaliBahari huwa naiogopa san
Makali Zaid ya asaliSana sana mawimbi wa bahar yakiwa makali
Sana unaogopa nini au unaogopa kuogeleaBahari huwa naiogopa san
Makali yake akiwa na rafiki zake tu, ukimkuta yeye mwenyewe hana ujanjaSana sana mawimbi wa bahar yakiwa makali
Kuogelea siwezi jamniSana unaogopa nini au unaogopa kuogelea
Asali ni tamu sanaMakali Zaid ya asali
Nduki unaenda wapi, rudi utuelezea ujanja wa daimondUjanja ujanja anao diamond nduki
Jamani si unafundishwa kama hujui au unaogelea na boyaKuogelea siwezi jamni
Boya likizama nami sinitakufa bahariniJamani si unafundishwa kama hujui au unaogelea na boya