Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Sana sana leo ni wikiendKazi ngumu sn
Sana sana leo ni wikiendKazi ngumu sn
Sana sana leo ni wikiend
Wikiend tulivu na kinywaji lain
Laini laini sana yule mtoto amedekezwa na wazaziWikiend tulivu na kinywaji lain
Mtori mgumu kama ujiLain kama mtori
Uji wa mtama una vimbisha tumbo !!!Mtori mgumu kama uji
Tumbo langu limeisha kabsa yaan limekuwa flatUji wa mtama una vimbisha tumbo !!!
Mtori mgumu kama uji
Uji wa uwele ni mzr
Ulezi wa watoto au Uwele wa wakubwa hapo mmenichanganya....Mzuri wapi me siupendi napenda wa ulezi
Mmenichanganya cjui nimsikilize naniUlezi wa watoto au Uwele wa wakubwa hapo mmenichanganya....
Mmenichanganya tangu asubuhi ndio maana nikakimbiaUlezi wa watoto au Uwele wa wakubwa hapo mmenichanganya....
Nikakimbia kuja kwenuMmenichanganya tangu asubuhi ndio maana nikakimbia
Kwenu ni wapNikakimbia kuja kwenu
Kimya sanaWap nyie mbona kimya
Nikakimbia wee hadi nikajikwaa puuh chini, hapo hapo nikatiwa mbaroni.....Mmenichanganya tangu asubuhi ndio maana nikakimbia
Mbaroni huwekwa waalifuNikakimbia wee hadi nikajikwaa puuh chini, hapo hapo nikatiwa mbaroni.....