Wa mwisho ndiyo mshindi

Kinachovutia ni kuona wote humu mmeamka buheri wa afya
Afya ndo kila kitu, bora kukosa pesa. Ikiwa huna afya nzuri na ni mgonjwa huwezi kufaidi chakula, pesa na mali zako. Afya ni utajiri pesa makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…