Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Unalielewaje ufedhuli wa kupekuwa mambo ya jirani yako au kupekuwa majalala yake ati amepika nini jirani.....?Kwako amani unaipata kwa kutojua mambo ya watu? Na hili neno information is power unalielewaje?
Waheshimiwa wa siku hizi hamna kitu...Waje wote waheshimiwa
Jirani siyo wa kupekuliwa...kitachoongelewa kuhusu information ni habari za kawaida za jirani yako au mtu yeyoteUnalielewaje ufedhuli wa kupekuwa mambo ya jirani yako au kupekuwa majalala yake ati amepika nini jirani.....?
Jirani yangu zamiluni umepotea siku hiziUnalielewaje ufedhuli wa kupekuwa mambo ya jirani yako au kupekuwa majalala yake ati amepika nini jirani.....?
Yeye amekataa amesema sio yeyeYeyote atakaejihisi ndo yey
yey ni neno gani?Yeyote atakaejihisi ndo yey
Nini? Ina maana hujaelewa? Halafu inaonyesha wewe kum-quote mtu hujuiGani ndo nini
Kikufurahishacho wewe ndo hicho hicho kinifurahishacho mimiNini kikufurahishacho?
Mimi sijapotea Bingwa wetu supermarket hapa kuna kunakifurashaji fulani....Kikufurahishacho wewe ndo hicho hicho kinifurahishacho mimi
Mjuzi huwa anajulikana na kila mtu, we mtaje tu utaelewekaFulani anjifanya mjuzi
Mjuzi wa nini? mbona wapo wengi wajuzi na wa jana.. na wa leo !!!Fulani anjifanya mjuzi
Ujinga sote hatupendiMimi huwa sipendi ujinga
Fulani anapenda ujingaMimi sijapotea Bingwa wetu supermarket hapa kuna kunakifurashaji fulani....