Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Siendi[emoji23] [emoji23]Wakati story na washkaji zimenoga unasikia unaitwa na baba mkwe, unafika unaambiwa Lori la mkaa limefika ukasaidie kushusha magunia. Wale ulikuwa unapiga nao story wote walileta vyakula msibani ni wewe tu ndiyo ulikwenda kama mwanaume suruali.