Wa kaka mnaotegemea ukweni kisa mambo mazuri

Wa kaka mnaotegemea ukweni kisa mambo mazuri

Amigo naona umehamia kwa dada yangu vipi unautaka ushemeji? [emoji3]
Najijipendekeza ili niwe shemeji wako kwa huyu, maana yule ulieliachia nilimshindwa namimi nikamgawa kwa huyu jamaa mwenye I'd inayoanzia na.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Najijipendekeza ili niwe shemeji wako kwa huyu, maana yule ulieliachia nilimshindwa namimi nikamgawa kwa huyu jamaa mwenye I'd inayoanzia na.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Amigo Huyu analegezwa na miamala

Kama haujampa muamala utashika kote asilegeee. Ni dada huyo lkn
 
Dah hawa wanaume ni majanga siku hiz yanapenda slope kama mabinti..kuna huyo mmoja aliniacha hoi mwakajana alimvalisha babe mama wake Pete cha ajabu mwaka huu kamvalisha mwingine ati kisa dada kaajiriwa UN na wazazi wake wako vizuri.Slope zitawaua shenzzy
Machozi ya babe mother hayatamwacha salama
 
Amigo Huyu analegezwa na miamala

Kama haujampa muamala utashika kote asilegeee. Ni dada huyo lkn
Toba.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Kumbe nayeye ni kama yule miss ......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Toba.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Kumbe nayeye ni kama yule miss ......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3][emoji3][emoji3]...
Cc espy

2992f55f6def0e27060073d5c4dee2cb.jpg
muangalie hapa yupo na X wake MO11
 
Dah hawa wanaume ni majanga siku hiz yanapenda slope kama mabinti..kuna huyo mmoja aliniacha hoi mwakajana alimvalisha babe mama wake Pete cha ajabu mwaka huu kamvalisha mwingine ati kisa dada kaajiriwa UN na wazazi wake wako vizuri.Slope zitawaua shenzzy
[emoji3] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] huyo s mzima
 
Nyinyi makaka mnaooa wadada ambao kwao kuna unafuu wa maisha kwanini mnaridhika na hali ya maisha ki rahisi? Tena bila haya wengine wanaomba mke akaombe Ada ya watoto nyumbani kwao kwani wale watoto alikutuma uwazae? Hivi wale wazee wasingehangaika unafikiri ungevikuta.

Baba mkwe alishagundua wewe ni tegemezi utatumwa sana aisee, na ukitumwa utalalamika kuwa huheshimiwi. Akuheshimu wakati nyumba unayokaa mlipewa muanzie maisha na ni mwaka wa 10 huu hujisogezi, juu ya yote yule ki mada wako uliyempangia chumba anaishi mtaa mmoja na dereva wa baba mkwe na anayafahamu yote
Sky eclat, kama ni ndugu yako, bora ukamseme mbele ya mkewe, aone aibu,
Huku jf anaweza asiione hii thread yako!
Na asijue kama unamsema!!!!!
 
Back
Top Bottom