Eee Mungu wangu ninusuruTena wababa wenye pesa wanajeuri ya pesa. Akiwa amekuchoka unaweza kwenda kwenye msiba ukweni ukapewa ungo wa vitunguu uwasaidie wakina mama kuvimenya.
Inamaana hujui tofauti ya uwanaume na uwanamke..sio kila kitu ni cha kifanya comparison ohooNa wale wadada wanaotaka mwanaume mwenye nazo au kwao mwanaume kuwe vizuri tuwasemeje siyo tegemezi?
shida yenu mlio nje yasiyowahusu ndio hii. Mmekariri nimeoa ukoo wenye pesa kiasi kwamba hata niki-fight nikawa vizuri bado mnapiga kelele kuwa ni hela za ukweni! Mnataka tuwaoe wa kwa mtogole tu? Na hata nyie wa kwa mtogole hamtutaki mnataka wenye pesa!Nyinyi makaka mnaooa wadada ambao kwao kuna unafuu wa maisha kwanini mnaridhika na hali ya maisha ki rahisi? Tena bila haya wengine wanaomba mke akaombe Ada ya watoto nyumbani kwao kwani wale watoto alikutuma uwazae? Hivi wale wazee wasingehangaika unafikiri ungevikuta.
Baba mkwe alishagundua wewe ni tegemezi utatumwa sana aisee, na ukitumwa utalalamika kuwa huheshimiwi. Akuheshimu wakati nyumba unayokaa mlipewa muanzie maisha na ni mwaka wa 10 huu hujisogezi, juu ya yote yule ki mada wako uliyempangia chumba anaishi mtaa mmoja na dereva wa baba mkwe na anayafahamu yote
Huyo fa.la ndio anamkuna dada yako na hasikii wala haambiwi na yeyote zaidi ya huyo fa.laAcha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli
Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.
Chunga mdomo wako brother uwezi mwita shemeji yako fala?Acha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli
Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.
Mkuu ukifight ukawa vizuri ukweni watashukuru, mimi ninawaongelea wale wa kurelax kisa mtoto kwao wako alright. Tena anamwandikisha mtoto English medium eti mkujuu wa Mzee fulani hawezi kusoma St Kayumba wakati pesa ya kulipa huna unategemea wallet ya baba mkwe.shida yenu mlio nje yasiyowahusu ndio hii. Mmekariri nimeoa ukoo wenye pesa kiasi kwamba hata niki-fight nikawa vizuri bado mnapiga kelele kuwa ni hela za ukweni! Mnataka tuwaoe wa kwa mtogole tu? Na hata nyie wa kwa mtogole hamtutaki mnataka wenye pesa!
Msitunyanyase kila mtu na ridhiki yake!Wakati story na washkaji zimenoga unasikia unaitwa na baba mkwe, unafika unaambiwa Lori la mkaa limefika ukasaidie kushusha magunia. Wale ulikuwa unapiga nao story wote walileta vyakula msibani ni wewe tu ndiyo ulikwenda kama mwanaume suruali.
Tatizo hata uki-fight ukakaa vizuri bado watasema 'anaendeleza mali za mkwe'....Mkuu ukifight ukawa vizuri ukweni watashukuru, mimi ninawaongelea wale wa jure lax kisa mtoto kwao wako alright. Tena anamwandikisha mtoto English medium eti mkujuu wa Mzee fulani hawezi kusoma St Kayumba wakati pesa ya kulipa huna unategemea wallet ya baba mkwe.
Na wewe unatoka ule mkoa wenye tabia hizi?!!Tena wababa wenye pesa wanajeuri ya pesa. Akiwa amekuchoka unaweza kwenda kwenye msiba ukweni ukapewa ungo wa vitunguu uwasaidie wakina mama kuvimenya.
Wanadamu hawana jema...Sasa hizo zitakuwa tabia za Kwamtogole mkuu.
Hana hili wala lile???? Anamkuyati wa kutoshaa ndiyo maana sista wako haambiliki...[emoji15] [emoji15]Acha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli
Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.
Mtajiri ndiyo kumbe wanaumwa Ukimwi tu?Chunga mdomo wako brother uwezi mwita shemeji yako fala?
Kitendo cha kumpigia simu ulitokota kwa nini usingempigia Dada yako umueleze huna hekima hata kidogo.
Mungu ndiye anayepanga aolewe na nani sio wewe imagine huyo tajiri unaetaka aoe kwenu angemletea ukimwi ndo ungefurahia acha utoto think big Mkuu.
Nawewe mpaka sasa hivi bado upo kwenu unafanya nini?Acha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli
Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.
Kwani jino halitaki story jamaniWakati ulikuwa unapiga story na wakwe zake wengine?