Wa kaka mnaotegemea ukweni kisa mambo mazuri

Wa kaka mnaotegemea ukweni kisa mambo mazuri

Mkuu....
Mihapa sihami pamoja na uzee wangu. Zaidi naganya mpango ili Mzee atangulie mapema, ili nijimilikishe kabisaaaaaaaaa hili pagala.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Asante sana, leo ilikuwa niende kumaliza sikukuu hata nmehairisha. Nmekumbuka niliwahi kuambiwa nikanunue vinywaji kisa mimi ndye najua wapi kunauzwa soda na bia tamu. Nilijiuliza kwani zinautofauti ila leo ndiyo nimepata jibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] asante kunichekesha
 
Dah hawa wanaume ni majanga siku hiz yanapenda slope kama mabinti..kuna huyo mmoja aliniacha hoi mwakajana alimvalisha babe mama wake Pete cha ajabu mwaka huu kamvalisha mwingine ati kisa dada kaajiriwa UN na wazazi wake wako vizuri.Slope zitawaua shenzzy
 
Nyinyi makaka mnaooa wadada ambao kwao kuna unafuu wa maisha kwanini mnaridhika na hali ya maisha ki rahisi? Tena bila haya wengine wanaomba mke akaombe Ada ya watoto nyumbani kwao kwani wale watoto alikutuma uwazae? Hivi wale wazee wasingehangaika unafikiri ungevikuta.

Baba mkwe alishagundua wewe ni tegemezi utatumwa sana aisee, na ukitumwa utalalamika kuwa huheshimiwi. Akuheshimu wakati nyumba unayokaa mlipewa muanzie maisha na ni mwaka wa 10 huu hujisogezi, juu ya yote yule ki mada wako uliyempangia chumba anaishi mtaa mmoja na dereva wa baba mkwe na anayafahamu yote
Ila wanawake mnapotutegemea kwa kila kitu hamsemi siyo?tena naweza uza shamba nililopewa na mzazi wangu na wewe mwanamke ukatumbua macho ufanikiwe kupitia mimi afu ninyi vya wazazi weny hamtaki?ndo mana mnaongezeka kua na watoto bila ndoa kwa sababu ya akili finyu
 
Hebu jisome tena mkuu, kuna tofauti ya kuwa mwanamke na kuwa mwanaume.
Kwahiyo unataka umtegemee mkeo eti???
 
Nilishafika kitambo!!
Ohhoooooo.......
Tatizo hako katoto ka avatar, siunajua misiangaliagi I'd......[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Leo wifi yako umemuacha wapi?
Maana naona huu uzi unatuhusu, au isije ikawa ni I'd yake nyingine....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Hahahaaa!! Kaka ndio ujenge nyumba yako.
 
Hizi thread hua sipendi kuzichangia kabisa, maana hata hapa naishi kwenye nyumba ya baba mkwe.....[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaa!! Kaka ndio ujenge nyumba yako.
Aggghhhhhh.......[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Kwanza pale mwanzo alikataa kukaa humu
IMG-20170607-WA0005.jpg

Abu ngoja kwanza....
Sakayo
 
Nyinyi makaka mnaooa wadada ambao kwao kuna unafuu wa maisha kwanini mnaridhika na hali ya maisha ki rahisi? Tena bila haya wengine wanaomba mke akaombe Ada ya watoto nyumbani kwao kwani wale watoto alikutuma uwazae? Hivi wale wazee wasingehangaika unafikiri ungevikuta.

Baba mkwe alishagundua wewe ni tegemezi utatumwa sana aisee, na ukitumwa utalalamika kuwa huheshimiwi. Akuheshimu wakati nyumba unayokaa mlipewa muanzie maisha na ni mwaka wa 10 huu hujisogezi, juu ya yote yule ki mada wako uliyempangia chumba anaishi mtaa mmoja na dereva wa baba mkwe na anayafahamu yote

Utangulizi.

Kwanza kabisa, naomba niweke wazi kwamba mimi sipendi kutegemea hata kwa baba yangu, licha ya ukweni. Zaidi napenda kuchangia maendeleo ya familia yangu yote, ingawa wanaweza wasihitaji msaada hivyo.

Pia, sina mpango wa kurithi kitu zaidi ya kitu cha sentimental value, ingawa mali za kurithi zipo.

Nasema haya ili kujiweka wazi kwamba naandika kwa misimamo ya kifalsafa zaidi, kuliko kujitetea mimi binafsi. Kwa sababu watu wengine hawajui kutenganisha mawili hayo.

Sasa basi, baada ya dibaji hiyo, tuje kwenye hoja.

Mimi siwezi na sipendi kumchunguza mtu katika ndoa yake yukoje na anaishije na mkewe, nani anamsaidia nani na kwa nini. Upande wangu wa uungwana unanikataza kufanya hilo.

Kimsingi sioni tofauti ya uchunguzi huu na kukaa dirishani kumchungulia mtu na mkewe wakiwa wanafanya tendo la ndoa ili nijue kati ya bwana na bibi, nani anakaa juu, nani anakaa chini, nani anamuomba nani tendo, nani anaweza mapigo sana na nani anaomba poo mapema katika mchezo.

Ukichunguza sana ndoa za watu ndiyo mwanzo wa kumtamani mume au mke wa mtu, dini zimetufundisha kwamba hata kumtamani tu mke au mume (by induction) wa mtu ni dhambi.

Utaanza kufikiri "huyu mzuri sana, msomi sana, tajiri sana, mjanja sana, lakini kwa nini kawa kwenye ndoa na huyu mjinga sana, mbaya sana, masikini sana etc, hata hawaendani".

Ukishaanza kufikiri hivyo, hiyo ni hatua ya kwanza kusema huyu akiwa hivi au vile tu, atanifaa mimi, au atamfaa rafiki yangu fulani.

Sitaki kuanza safari inayonifikisha huko.

Mwanamme anayefanya hivyo anaweza kufanywa mke wa pili na huyo bwana anayemchunguza. Mwanamke vivyo hivyo.

Kwa hiyo mtu akisaidiwa na mkewe poa, akiwa anamsaidia mkewe poa. Mradi hawaji kunikopa mimi na hawanidhulumu changu, sintopenda kuwafuatilia.

Siku moja nilikuwa na Bi. Zuhra tumenda hoteli ya Ki Senegali tumetafuta vyakula vya Kiafrika. Tumekula tumemaliza, sasa kawaida yangu mwanamke kulipia chakula ni dhambi (call me a chauvinistic OG if you want). Sasa wale wahudumu wa KiSenegali wakawa wanaleta zile chelewa chelewa za Kiafrika wakati watu tunatakakusepa. Mimi nikasema hawa wanaweka usiku hapa, Bi Zuhra akasemaisiwe tabu, sipendi ajizi, nawafuata. Akaamka kwenda counter kuwalipa. Akatoa kadi akalipa. Kuna waafrika fulani walikuwa wamekaa pembeni wakawa wananiangalia, nawaona kabisa wanafikiri "brother kafulia, analipiwa na mamaa hivihivi?". Kumbe, wasichojua ni kwamba ile kadi anayotumia Bi. Zuhra kulipa ni kadi yangu, nimekata halafu nikaomba zitolewe mbili, moja kwa jina langu, nyingine kwa jina lake.Ili akipata shida wakati wowote aweze kuchanja kadi bilahata kuniomba.

Lakini kwa mtazamaji wa ule mchezo,kama anafikiri kirahisi rahisi, anaweza kuona kaka mkubwa kafulia mpaka dinner ananunuliwa na mamaa.

Kwa hivyo, unaweza kumsakama mtu anasaidiwa na familia ya wakwe kumbe hujui yeye anaweza kuwa kawainua wakwe kivyake mapaka wakamthamini hivyo.

Na hata kama hajawainua, mimi sipendelei kumhukumu mtu kwa mambo ambayo hayanipunguzii kitu.

Kama jibaba anataka kukuoa,au kaoa mdogo wako, halafu analeta za kutegemea wakwe ambao ni wazazi wako, na wewe unaona anawajazia shida, hapo una haki ya kusema.Kwa sababu huyo kaingia katikafamilia yenu halafu analeta mambo usiyoyapenda.

Lakini habari za watu baki tu? Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Waswahili hawachelewi kusema unawasema watu katika mapenzi yao kwa sababu ya wivu.

Hata kama huna wivu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama na wewe unanicheka dada.... Nibora nitangaze kukugawa humu ndani hata bure ili nisifedheheke....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Back
Top Bottom