Hainaga ushemeji
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 451
- 779
Nimecheka sana mkuu pole
....Wale ambao ni senior Single mothers je?Uliumbiwa msaidizi kamwe hawezi kuitwa tegemezi
Looking forward to that....Nitakupikia pilau lakini si ya Eid tena itakuwa ya mgeni.
Ukibweteka watakudharau lakini kama ni genuine msaada ili ukljikomboe kimaisha w poaKwangu sioni ubaya kupata msaada toka kwa familia ya mke ilihali hiyo familia inauwezo zaidi ya nilionao. Alafu wazazi wengi wanafanya hivyo ili kuhakikisha mwanae hapati shida katika maisha ya ndoa aliyoyaanza
Chamsingi si kubweteka kwa kutegemea kila siku utasaidiwa na wakwe ili kutunza heshima
Hehehe mapenzi si pesa mkuu, pesa zinatafutwa.Acha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli
Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.
Yes, msaada wa kujikomboa,Ukibweteka watakudharau lakini kama ni genuine msaada ili ukljikomboe kimaisha w poa
Inamaana mpaka sasa ulikuwa hujui sababuSasa umenifumbua macho ya kwanini mim tu ukweni ndiyo huwa natumwa. Nilikuwa nahisi ni kwa sababu ya uaminifu wangu kumbe hamna kitu
Duuuh acha ulofa weweMAMBO MAGUMU SANA KAMA UKWENI KUNA KA UPENYO,NIKO TAYARI KUPIGA HATA DEKI UKWENI
Ww noma mkuuAcha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli
Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.
[emoji3] [emoji3]Sasa umenifumbua macho ya kwanini mim tu ukweni ndiyo huwa natumwa. Nilikuwa nahisi ni kwa sababu ya uaminifu wangu kumbe hamna kitu
unachosema ni kweli we r facing the same situationHivi imagine mtoto wako kaolewa lakini still anadepend kwako do u think this is fair?..Kuna vitu vya kumsaidia lakini too much is harmful yaan hata mtoto wako akiugua unamleta unampeleka ukweni ukatibiwe sasa kwanini ulioa?.. I am a man and human being but kuna wakati inabidi kila mtu astand for his own responsibilities.
Dada ze2 wanazingua cyo kidogoAcha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli
Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.