namlexink
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,434
- 945
Au uambiwe ukimbize kuku kwa ajili ya wageni... hahahWakati story na washkaji zimenoga unasikia unaitwa na baba mkwe, unafika unaambiwa Lori la mkaa limefika ukasaidie kushusha magunia. Wale ulikuwa unapiga nao story wote walileta vyakula msibani ni wewe tu ndiyo ulikwenda kama mwanaume suruali.