Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,522
Sasa my kaka unataka nikutambulishe nini?Labda wa kuazima. Kila siku unanitambulisha makaka duuh
Sasa my kaka unataka nikutambulishe nini?Labda wa kuazima. Kila siku unanitambulisha makaka duuh
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ng'ombe walipungua kwa kiangazi cha juzi wewe kama umempenda mchukue bwana tuongeze zizi.
Hahaha sitaki kuamini unanikataa leo. Wewe na espy you're my sisy. Sasa mkinikataa mnanitafutia mengine.Umeona Daby anavyopigia mstari neno dada hataki tumkoseshe totoz hapa
Wewe umeona alichokiandika Sky hapo nyuma?Sasa my kaka unataka nikutambulishe nini?
Mie dada yako kuanzia lini?????Hahaha sitaki kuamini unanikataa leo. Wewe na espy you're my sisy. Sasa mkinikataa mnanitafutia mengine.
Daby kuna kitu anatafuta sio bure!!Umeona Daby anavyopigia mstari neno dada hataki tumkoseshe totoz hapa
Ulipozaliwa na mama.Mie dada yako kuanzia lini?????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulipozaliwa na mama.
Ila hapa mjini jua na namna ya kucheza na vyeo vya watu. Kuna muda kuniita kaka kuna muda wa kunikataa [emoji125] [emoji125] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walaaa sikukatai, itakuwa sio adabu.Ila hapa mjini jua na namna ya kucheza na vyeo vya watu. Kuna muda kuniita kaka kuna muda wa kunikataa [emoji125] [emoji125] [emoji1] [emoji1]
Duhhh......Ng'ombe walipungua kwa kiangazi cha juzi wewe kama umempenda mchukue bwana tuongeze zizi.
huko sahihi lakini bado nitawalaumu wazazi kuwa hawawaandai watoto wa kiume kujitegemea! mbaya zaidi babu zao wako masaki hata wakienda likizo maisha ni yale yale hujigusi! hakuna cha shamba wala kubeba kuni sasa unategemea nini?Wakati story na washkaji zimenoga unasikia unaitwa na baba mkwe, unafika unaambiwa Lori la mkaa limefika ukasaidie kushusha magunia. Wale ulikuwa unapiga nao story wote walileta vyakula msibani ni wewe tu ndiyo ulikwenda kama mwanaume suruali.
Mkuu Unataka kusema kizazi hiki ni wahanga wa maendeleo yetu wenyewe? Tuliosoma enzi za zidumu fikra za mwenyekiti wa chama kulima shule ilikuwa ni lazima. Hizi English Medium hazina hata mashamba.huko sahihi lakini bado nitawalaumu wazazi kuwa hawawaandai watoto wa kiume kujitegemea! mbaya zaidi babu zao wako masaki hata wakienda likizo maisha ni yale yale hujigusi! hakuna cha shamba wala kubeba kuni sasa unategemea nini?
Inamaana mpaka sasa ulikuwa hujui sababu
Siku hizi c mnasema haki sawa jamenUliumbiwa msaidizi kamwe hawezi kuitwa tegemezi
kabisa yaani na babe mom yeye ajajua hadi sasa kinachoendelea na harus August!Machozi ya babe mother hayatamwacha salama
Siungi mkono hoja ya kufanya kazi za ukwe hata kidogo, ni uzembe uliotukuka, sema suala la wadada kuwa omba omba halina mashiko kabisaMtakata sana vitunguu ukweni katika haki sawa.