Wa kaka mnaotegemea ukweni kisa mambo mazuri

Wa kaka mnaotegemea ukweni kisa mambo mazuri

Nyinyi makaka mnaooa wadada ambao kwao kuna unafuu wa maisha kwanini mnaridhika na hali ya maisha ki rahisi? Tena bila haya wengine wanaomba mke akaombe Ada ya watoto nyumbani kwao kwani wale watoto alikutuma uwazae? Hivi wale wazee wasingehangaika unafikiri ungevikuta.

Baba mkwe alishagundua wewe ni tegemezi utatumwa sana aisee, na ukitumwa utalalamika kuwa huheshimiwi. Akuheshimu wakati nyumba unayokaa mlipewa muanzie maisha na ni mwaka wa 10 huu hujisogezi, juu ya yote yule ki mada wako uliyempangia chumba anaishi mtaa mmoja na dereva wa baba mkwe na anayafahamu yote
ILO NI DONGO LA MTU.UNGEMTAJA TU JINA.WALA USIZUNGUKE SANA.
 
Hivi imagine mtoto wako kaolewa lakini still anadepend kwako do u think this is fair?..Kuna vitu vya kumsaidia lakini too much is harmful yaan hata mtoto wako akiugua unamleta unampeleka ukweni ukatibiwe sasa kwanini ulioa?.. I am a man and human being but kuna wakati inabidi kila mtu astand for his own responsibilities.
Kwanza kumwita shemejio fala uo ujinga acha unamaanisha fala kaoa mafala wenzake au stop immediately.
 
Nyinyi makaka mnaooa wadada ambao kwao kuna unafuu wa maisha kwanini mnaridhika na hali ya maisha ki rahisi? Tena bila haya wengine wanaomba mke akaombe Ada ya watoto nyumbani kwao kwani wale watoto alikutuma uwazae? Hivi wale wazee wasingehangaika unafikiri ungevikuta.

Baba mkwe alishagundua wewe ni tegemezi utatumwa sana aisee, na ukitumwa utalalamika kuwa huheshimiwi. Akuheshimu wakati nyumba unayokaa mlipewa muanzie maisha na ni mwaka wa 10 huu hujisogezi, juu ya yote yule ki mada wako uliyempangia chumba anaishi mtaa mmoja na dereva wa baba mkwe na anayafahamu yote
Kiukweli mimi nilioa kwa sababu kwa mke Wangu mambo fresh
 
Acha tu kuna fala kaoa kwetu eti wakipata shida huko unaskia anamwambia dada em jaribu kuongea na mama kama ataweza kutusaidia. Sasa kuna siku nilisikia dada anapiga mzinga kwa mama, nilichokifanya ni nilmpgia cm mume wake nikamwambia kiume tu inabidi afanye kazi kwa bidii hawezi kumtegea mama amtunzie familia. Najua alimind lakini nilimchana tu ukweli

Halafu na nyie wadada kuna wakati mnazingua kweli yaani unakuta mtu hana lile wala hili na wazazi wanakwambia usiolewe nae lakini wewe unajifanya ndio umezima kwake na maisha yakianza kukuzimia unaleta taabu nyumbani kwenu.
Mkuu una miaka mingapi?
 
Hapo ulitakiwa umuite dada yako uongee nae umpe hata mawazo ya nini afanye ili wajikwamue kuondokana na hizo changamoto zao. Kaolewa na mwanaume anayempenda, alichagua mapenzi ili aishi kwa amani. Changamoto hizo zingine zinatatulika maana hakuna alozaliwa na mali. Wahangaike watafute zao.

Na huyo the so callede 'fa.la' ndio shemeji yako na ndio dada yako kamchagua, hivyo kama una nia njema nao basi wasaidie hata mawazo ya namna ya kujikwamua, na sio kuwaponda, undugu gani huo sasa!!!
Shikamoo dada unajielewa sana huyu kijana ni zero in terms of wisdom.
Huwezi muita shemeji fala alafu kumpigia simu ni kumzalilisha anaweza akaolewa na hao wenye pesa bado ikawa shida tu amani hakuna .
 
Wengine tumeoa ukweni ambako mambo ni magumu kimtindo sasa majukumu yote unabeba wewe.
Mke wako unampenda lakini sasa kwao ndo ivo hakuna namna inabidi usaidie.
Wanaume wenzangu mliobahatika kuoa kwenye familia mambo safi basi tumieni hizo fursa vizuri maana wenzenu tumebebeshwa majukumu makubwa kweli kweli
 
Shikamoo dada unajielewa sana huyu kijana ni zero in terms of wisdom.
Huwezi muita shemeji fala alafu kumpigia simu ni kumzalilisha anaweza akaolewa na hao wenye pesa bado ikawa shida tu amani hakuna .
Kama angempigia simu kama shemeji yake kirafiki labda hata kumshirikisha mchongo fulani sawa, lakini kumuaibisha hivyo hapana jamani. Yeye wa kuongea nae ni dadayake.

Ila maybe hiyo call itamfanya shemeji mtu apate hasira za kuzisaka kweli kweli maana we learn in a hard way sometimes!!!
 
rafiki yangu mama ake dem wake akamwambia mwanangu nakupa mtaji na nyumba a kuishi ili umuoe mwanangu, maana naona miaka inaenda na huja tengemaa kiuchumi, hata kazi hujapata mpaka leo, mwanangu anakupenda sana tokea mkiwa chuo na me mzaz nmelielewa hilo, kipindi icho dem ana gari (Toyota Opa nyeupe) na anafanya kazi Stanbinc Bank. hapo ndo hapo ndo jamaa yangu aka Break up na dem maana aliona ilo jinamizi la ukweni lisingemuacha salama, dem hakuamini, bembeleeeeeeza sana Jamaa wapi.
 
Mbona huku kwetu , shemeji hatumikishwi ovyo ovyo, kumfanya mkweo mtumwa kisa yuko down financially inategemea ntu na ntu.
Mimi sijakataa kuwa masikini asioe mtoto wa Tajiri ila awe mtoto wa kiume asiwe tegemezi kisa baba mkwe anamkwanja. Unakuta baba amebadilisha gari unamwambia binti yake aombe ile ya zamani iwasukume, haya ndiyo mambo ya kujitia aibu.
 
Hivi imagine mtoto wako kaolewa lakini still anadepend kwako do u think this is fair?..Kuna vitu vya kumsaidia lakini too much is harmful yaan hata mtoto wako akiugua unamleta unampeleka ukweni ukatibiwe sasa kwanini ulioa?.. I am a man and human being but kuna wakati inabidi kila mtu astand for his own responsibilities.
Kuna wanaume wanajua kuweka heshima, ndiyo baba yako ana pesa lakini hii ni nyumba yangu na tutaishi kwa uwezo wetu. Ukiwa na msimamo hivyo hata baba mwenyewe akiona noma wajukuu wake wanasoma St Kayumba atakufuata muongee kuwa anawapeleka St Catherine na yeye atalipa ada. Si wewe kwenda kuomba msaada wa ada.
 
Back
Top Bottom