Wa enzi hizo mnakumbukia wap hapa?

Wa enzi hizo mnakumbukia wap hapa?

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
10,964
Reaction score
19,840
Mambo ya ndombolo ya solo hayo
Screenshot_20201124-114723.png
Screenshot_20201124-114723.png
Screenshot_20201124-114824.png
Screenshot_20201124-114824.png
Screenshot_20201124-114844.png
 
Attachments

  • Screenshot_20201124-114917.png
    Screenshot_20201124-114917.png
    73.7 KB · Views: 12
Yan wewe kila wakati unadili na watoto wakali tu
Hatari tupu.. watoto wakali wanaongeza siku za maisha.. mtoto alikuwa anaitwa Saumu sijui swaumu.. mtoto kama angel vile.. alafu alikuwa wakishua.. machizi kibao walikuwa wana mgwaya.. noma sana.. sasa hivi mtoto yupo kwa Boris Johnson mie nipo kwa mtogore 😀😀😀
 
Nilikua na 1-2 yrs aisee [emoji14]
Unipe heshima yangu, wengine humu wanakomaa kututusi kumbe vitoto vya juzi 98, laiti tungecheza na mama zao vingekuwa vitoto vyetu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Enzi hizo tunaenda disco Tazara(leaders club)kucheza disco la buzuki..Dj Charlz
 
Unipe heshima yangu, wengine humu wanakomaa kututusi kumbe vitoto vya juzi 98, laiti tungecheza na mama zao vingekuwa vitoto vyetu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Aaah wapi we mwenyewe kama sikuamini hivi huna age hiyo ya kututishia humu😀😀
 
Back
Top Bottom