Babu yangu alikimbia kwao, kaacha visima vya mafuta, mi nahangaika kuzitafuta, nikipata nikamkatia!!Mkatie minoti. Mwanamke anabembelezwa na minoti minoti
Ahahaaa...kumbee,Aarh nitake radhi mkuu, mimi niwe wa 2000 kwelii?? Mi mkongwe sana tu.
Acha bhna kujizeesha hvyoo..MIe Nshazeeka sasa, umri umenitupa mkono
Ooh...Basi huenda tulipishana mikondo we lanne B,mi nilikuwa lanne AHaaaaa, shule ya msingi Boss
Mi sikufahamu kweli ujue!!Ananijua vizuri sana huyo! Anajishaua tu!
mtoto lito😁Nilikua na 1-2 yrs aisee 😛
Niende wapi na uzee huu zaidi ya kulidamkia jua la asubh lile teketeke lenye vitamin D.....Umewahi kuamka, unaenda wap mapema. Yote hii
Beberu mwitu unamfahamu lakini?Mi sikufahamu kweli ujue!!
Ahaaaa kumbe ndiyo wewe mdogo angu dah, mi nilikua nafurahia nimepata mume kumbe wewe aargh, vipi lkn za siku?Beberu mwitu unamfahamu lakini?
[emoji44][emoji44][emoji44] dah! Hizi sasa dharau! Eti mimi nani?!Ahaaaa kumbe ndiyo wewe mdogo angu dah, mi nilikua nafurahia nimepata mume kumbe wewe aargh, vipi lkn za siku?
Kwahiyo unabisha mdogo angu?😀[emoji44][emoji44][emoji44] dah! Hizi sasa dharau!
Ndio kwa asilimia 90%Kwahiyo unabisha mdogo angu?[emoji3]
Am your big sister 🏃♀️Ndio kwa asilimia 90%
When did you see the light?Am your big sister [emoji2088]
Labda big brother! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Am your big sister [emoji2088]
I was born in 1970s mkuuWhen did you see the light?
For me 1982, speak your truth.
So you mean you are 50's? Speak the truth!I was born in 1970s mkuu