Wa enzi hizo mnakumbukia wap hapa?

Mmmh...hapana aje mwenyewe ajibu hili swali,niridhike...

financial services wewe ulisimuliwa na nani hizi nyimbo...😅
Sawa tumsubiri. Bushbaby..,

Hizi nyimbo bana huwa nacheka wazazi wanatusimulia eti zilikua ndiyo pendwa hasa kipindi cha harusi yao, waliojidai wanapenda gospel songs pekee baada ya kupigwa hizo ndombolo nk. Wakatupa magitaa chini wakaingia kati kuyarudi😀😀😀
 
Ahahaaa...nomaa sanaa

Kumbee ulisimuliwa eeh😃...afu unaonesha bado mbichi sana,kama sio wa 2000 Basi 97
 
Nakumbuka enzi hzo mim mdogo nina kiredio changu aina ya SUNNY wakati nachunga ng'ombe na huku redio nime'tune masafa ya MW. Bila bolingo za akina Aurlus mabele, pepe kale, awilo Longomba na wengine palikuwa hapanogi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom