Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Mitihani ya taifa inafanyika siku za ijumaa, iddi na bado hakuna tabu kisherehe cha mwaka mara moja imekuwa nongwa.
 
Ungeleta andiko ingekuwa vema ,maana mm na ushahidi wa kimaandiko

Manabii wote

Had yesu na mitume walisali siku ya SABATO

hii jumapili ni ibada ya papa

Sasa sijui unasmsema Yesu gan huyoView attachment 926096
Moja ya mashitaka alioshitakiwa Yesu ni kutoshika sabato. Na waliopiga kelele asulubiwe ni wasabato na walio msulubisha ni wasabato sasa sijui usabato wake uko wapi? Alipo mponya yule mwanamke siku ya sabato akamwambia jitwike godoro lako uende unajua wasabato walimwambia nini? Usimuhusishe Yesu Kristo aliyesulubishwa mpaka kuuwawa na wasabato na usabato wako..Yesu alileta wokovu na wala si siku ya jumamosi ndiyo maana wenzio tupo huru Kumuabudu Mungu wetu siku yyte ile..iwe ijumaa, jumamosi jumapili tunabubujika tu na Roho Mtakatifu akituongoza.
 
  • Thanks
Reactions: etb
Nyie mna abudu siku
Leta ushahidi
FB_IMG_1541586090838.jpeg
 
mm nna ushauri tu,

hoja zinazohusisha dini hua haziishi coz kila mtu anaamini ktk kile anachoamini, so tuwaacheni tu hawa ndugu waamue ya kwao ilomradi tu hawaingilii Uhuru wetu.

pia kwa mnaopenda mabishano kuwen makini maana hawa jamaa ata ukibishana nao mpaka kesho hamna utakachoambulia; ni watu wanaojaribu kujitetea siku zote na Mara zote atataka muongelee kile anachokijua.

mfano,
angalia comment ya hapo juu ya attachment ya gazeti,
then jiulize,

upapa una uhusiano gani na mahafari ya vyuo vikuu Tz kama Uzi unavyoeleza.

utagundua kua anataka mjadili anachokijua yeye.

so please,

speak only when your words are more important than your silence

ni ushauri tu
 
Kwani ni wakatoliki pekee ndio wanasali jumapili?? Mboma papa ndio unamtolea mifano zaidi??
Hapo na mm najiuliza sana kwanini padri Martin Luther alipojitoa RC, kwanini hakuanzisha utaratibu wa kusali siku nyingne tofaut na jpl? Nazan aliona SIKU haina shida bali MAFUNDISHO ya kanisa
 
  • Thanks
Reactions: etb
Hapo na mm najiuliza sana kwanini padri Martin Luther alipojitoa RC, kwanini hakuanzisha utaratibu wa kusali siku nyingne tofaut na jpl? Nazan aliona SIKU haina shida bali MAFUNDISHO ya kanisa
Ndio ushangae na wewe.
 
mm nna ushauri tu,

hoja zinazohusisha dini hua haziishi coz kila mtu anaamini ktk kile anachoamini, so tuwaacheni tu hawa ndugu waamue ya kwao ilomradi tu hawaingilii Uhuru wetu.

pia kwa mnaopenda mabishano kuwen makini maana hawa jamaa ata ukibishana nao mpaka kesho hamna utakachoambulia; ni watu wanaojaribu kujitetea siku zote na Mara zote atataka muongelee kile anachokijua.

mfano,
angalia comment ya hapo juu ya attachment ya gazeti,
then jiulize,

upapa una uhusiano gani na mahafari ya vyuo vikuu Tz kama Uzi unavyoeleza.

utagundua kua anataka mjadili anachokijua yeye.

so please,

speak only when your words are more important than your silence

ni ushauri tu
Umenena kweli Mkuu, hawa ni kuwapotezea
 
Mimi binafsi ni mlutheri na nimesoma kwa wasabato lakini hata na wao hawatendi haki kwani muda mwingi wakiwa na vipindi au mitihani wanaweka siku ya jumapili na hata graduation day huwa wanaweka siku ya jumapili. kwa hiyo na sisi walutheri tulikuwa tunanyimwa muda wa kwenda kusali kujumuika na wenzetu. hivyo sio mbaya jino kwa jino. lala mbele na topic nyingine hii imetoka.
 
Hahahahahaaa poa mkuu
 
Wakajenge vyuo vyao,Yesu alisema yapo mambo ya ksisali,pia yapo mambo mambo ya Mungu, kira jambo linamda wake.
 
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??

Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?

Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.

Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Hahaaa wasabato huwa ni watu wa ajabu saana kifikra.
Wawe wanazuia na vifo kutokea siku za jumamosi
 
Kuna mambo ukikurupuka unageuka kuwa mtumwa..maandiko yako wazi ..Yesu aliuliza ni nani kwenu ng'ombe wake akitumbukia shimoni siku ya sabato hata mtoa?

Imani zingine ni mateso makubwa kwakweli...wana heri wa Muabudio Mungu ktk roho na kweli na wala si kwa siku wala muandamo wa mwezi
Mkuu yaani umemaliza toka mwanzo hadi ufunuo, tatizo watu wengi Imani zipo kwa viongozi wao na mafundisho fake, ukristo ni raha sana ukiujua vizuri
 
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??

Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?

Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu.

Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Nilitaka kuandika kitu lakini umemaliza mkuu.
 
Ila yesu alisema sio vibaya kutenda yaliyo mema siku ya sabato. Kuna vyuo kama tumaini na sauti hivi ni vya dini kabisa tena vina dressing code kwahyo huwez kukuta mavazi mabaya wala pombe hadi maaskofu wana hudhuria. Kwanini msishiriki?
Je kuna sehemu yoyote ktk Biblia Yesu alifanya/zungumzia (kuhusiana na Sabato) kazi tofauti zaidi ya kuokoa uhai (mfano : kuponya, kula n. k)?
 
Back
Top Bottom