Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).
Hujajibu swali, (narudia) nitajie wanasayansi wawili tu waliosoma kwenye vyuo vya kanisa katoliki. Hilo tuAngalia historia ya wanasayansi wote wakubwa wa kidunia walipikwa na taasisi gani kama sio kanisa katoliki. Hata uvaaji wa yale magauni ya wahitimu wa vyuo vikuu vyote duniani ,yameasisiwa na kanisa katoliki. Poor you! Huna unalolijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Galileo,Isaac Newton,etcHujajibu swali, (narudia) nitajie wanasayansi wawili tu waliosoma kwenye vyuo vya kanisa katoliki. Hilo tu
Pigeni mnada hizo nyumbaIla zama zile za (miaka 10) tumepiga hela na kujenga mijumba kama yote asee mipesa ilikuwa inaflow tu
Badilisheni mitaala mfanye viwe vyuo vya ufundi lakini vyenye ubora, kuendana na mahitaji ya nchi hasa tukielekea kwenye uchumi was viwandaHali tete wandugu. Imebidi watu tuwe ma-MC & ma-dj bila kutaka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ila kusema kweli chuo Kigoma cha nini?
Kwa kweli hata mimi sijafurahishwa na kanisa kufungua matawi kama uyoga. Sijui hapa kanisa walikosea wapi. Chuo cha SAUT mwanza kilikuwa na nguvu sana. Angalau wangeishia matawi mawili tu nchi nzima ingeeleweka. Sasa matawi karibu kila mkoa mkubwa wa Tanzania? Hapana!!!!!SAUT wamefyatua vyuo kama matembele. Sipati picha pale Chuo cha msamvu itakuaje.?
Brother if your first degree results match to GPA of 3.8 standard going up, sidhani kama ungekuwa unalalama kuwa hupati ajira UDSM, OUT, SUA, Mzumbe na kwingineko kule kwenye taasisi za serikali. Nafasi za ajira ziko bwerere ila ufaulu mbovu sana kwa watahiniwa wengi nchini. Someni kwa bidii na focus ya field sahihi ya kupita.Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).
Kila Baba Mhashamu Askofu anataka Chuo Kikuu jimboni mwake. Fikiria Jimbo la Mbinga nao wanataka Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Kizito Litumbandyoso - Mbinga.Kwa kweli hata mimi sijafurahishwa na kanisa kufungua matawi kama uyoga. Sijui hapa kanisa walikosea wapi. Chuo cha SAUT mwanza kilikuwa na nguvu sana. Angalau wangeishia matawi mawili tu nchi nzima ingeeleweka. Sasa matawi karibu kila mkoa mkubwa wa Tanzania? Hapana!!!!!
Hahah unataka waje huko ili mpone njaa.😂Undergraduate admission mwaka huu wa masomo 2019/2020/sijui itakuaje. Maana mitoto inakimbilia UDOM tu
St john dodoma mbona ipo safi tuu. Naona mwaka jana na mwaka huu admission wanajaza na wapo vizuri wewe unakwama wapi😂
Saut Arusha ni chuo cha kipuuzi sana....Imagine chuo kipo kilombero,makelele asubuhi mpk jioni,hakuna hostel rafiki zaidi ya vile vyumba vya kanisa pale havitoshi hata watu hamsini,........hamna hata kiwanja cha mchezo mmoja hapa hata kurefresh mind ni shida,mpaka wanachuo wakapigane huko mjini wapate pa kuchezea michezo trna kwa taaabu,....saut arusha inamfaa sana mtu anayesoma evening classes sio full time...even though nawasifu pia kitaaluma wapo vizuriSt john dodoma mbona ipo safi tuu. Naona mwaka jana na mwaka huu admission wanajaza na wapo vizuri wewe unakwama wapi[emoji23]