Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Hivi vyuo binafsi vilkuwa vinapigania kupata ruzuku tu ya serikalo wakati vingi havina ubora unaotakiwa.
 
Kwani kanisa katoliki ndiyo nini mdini wewe? Nenda SAUT tawi la Mtwara uone wafanyakazi wanavyolia (Stellar Maris),nenda SAUT tawi la Bagamoyo (Maruco). Kote huko hawana mishahara, na Maruco ndiyo mbaya zaidi hata wanafunzi hawapo.

Kanisa lenyewe hili linaongozwa na wafiraji halafu unatamba?
 
Acha ujinga wewe sadaka zenu na hata hivyo vimasaada mnavyopata kutoka Vatican havitoshi kuendesha vyuo.katoliki lilikuwa linaishi kiujanja ujanja Ku enrolled wanafunzi wengi kwenye vyuo ili kupewa ruzuku ya kutosha na serikali hivi sasa mambo yamebana utaona kama vita survive
 
Nitajie wanasayansi WaWili nguli wa kikatoliki. Toka vyuo vikuu vya kikatoliki.
**Kesho nitawataka ndugu zetu nao watutajie watalaamu (sio watengeneza mabomu ya kujitoa muhanga)
Wataalam watoke wapi katoliki bwana!! Anajishebedua tu huyu mbwiga, udini umemjaa. Katoliki inaongozwa na walawiti na wafiraji tu. Papa kila siku anaomba radhi
 
Acha kukurupuka wewe, kapitie staff list ya UDSM, SUA, UDOM...ndio uje uandike huu upupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha ha me nilijua utasema nione mtu yoyote wa TRA ananizoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kuongeza tu ni kwamba hata hili tawi la mbeya wahadhiri wake wamechoka sana kiasi cha kuonekana ni sehemu ya wahadhiri kufanya mazoezi ya kazi za lecturer, vyoo vichafu, hakuna WiFi, ni mwendo wa ubao tu hakuna projector, n.k

Pia ukiachana na saut kuna hawa ndugu zao teku waliweka pesa Mbele huku huduma zikiwa mbovu na sasa ni mara ya pili kufungiwa udahili wa wanafunzi.

Kwa upande wa vyuo vya serikali hapa mbeya cbe ni kituko, ni sehemu ambayo hata kilaza mwenye zero au aliye disco vyuo vingine akija pale anateleza tu, licha ya hivyo tawi hili la cbe limo ndani ya majengo ya open university kitu ambacho ni kituko na imefikia kipindi wamekodisha ukumbi wa kota za b.o.t kwa kufundishia vipindi, bogus kabisa hili tawi la cbe linafanya elimu ya chuo ionekane kama elimu ya vidudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…