Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Ukihama nchi (kama hata huo uwezo unao wa kuhama) kama nchi inapoteza nn zaidi ya kupunguza vibaka wa power window mtaani!

Kuhama nchi kuna sababu nyingi na hutokea mara nyingi,its a normal occurance!

Sasa wewe sijui matako yanakuwasha nini sana kwa mimi kuhama nchi?

Sijui wivu unakushika wa nini?

Na wewe hama kama umeumia sana!

I wonder why you are upset with your fellow man's decision?

You are a she hoe!
 
Uongo Kweli???? Jee wewe ungepewa nafasi kati ya UDSM na vyuo hivyo ungechagua kwenda wapi ? na kwa nini?
 
Utaua ajira mkuu? Ila ni kweli kwani hata kazi zenyewe hakuna mavyuo mengi ya nini? Kuzalisha "wasomi" wasiokuwa na mahali pa kwenda
Duuuh , kazi kwel kwel, kwa kwa hiyo wasomi wanatakiwa wazalishwe ili waajiriwe aisee, nchi yetu bado Sana . Kama haya ndio mawazo ya viongozi wetu basi hii nchi bado inasafari ndefu Sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani mkataba wako una confidentiality clause. Walk the talk of your contact. Njia sahihi zipo, kama huzijui seek a proper legal advice. Be advised of the consequence of confidentiality breach.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honorous degree ni kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
2019/20 ndo hamtapata wanafunzi kabisa.


anzisheni program za masters kwa bei ndogo au 3m mpige mahela kwa walimu na wafanya kazi wengine wanaotaka kujiongeza kielimu ila hawana hela
 
2019/20 ndo hamtapata wanafunzi kabisa.


anzisheni program za masters kwa bei ndogo au 3m mpige mahela kwa walimu na wafanya kazi wengine wanaotaka kujiongeza kielimu ila hawana hela
Hatuna huo ubavu. Wahadhiri wenye PhD wa kufundisha hizo kozi tunawatoa wapi na hata kama wapo tutawalipa nini? Benki zenyewe za kanisa zinachechemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…