Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Wewe mtu wa kutoka Shana,nimeona source ya hizo habari zako mbona kama ni fantasy tu wanafanya??

Schools of Magic - Witchcraft and Wizardry

0b4e44aecadc148e1bab7a431fdc7914.jpg

d59b96429303c53c0ed2fc28889486ad.jpg

3d42efc61b50964ace27fcd43d9593d6.jpg
 
Sio vyote wanafanya fantasy halafu kwanini umeamua kuchagua hicho kimoja tu na ukaacha vingine vyote? Kisome hiki chetu cha Africa
221b2ed6dde30872b0df1685f68d7be4.jpg
2efe828ea1a53b4ecae0fddba21b297a.jpg
Kwenye hiyo website uchwara yao vipo vyote ulivotaja ukitoa hiko cha Egypt tu.

Nimekiona na kile cha Harry Potter Hogwarts.
 
Tukae Vizuri Kujuzwa Tusiyoyajua Kwa Nia Njema Na Ustawi Wa Nchi Yetu. Hii Mada Naamini Haitakwenda Kwenye "Ramli Chonganishi"

Itasimama Katikati Kwenye Elimu,Ubora Na Baadaye Faida Na Hasara Kila Mtu Ataamua Mwenyewe!
 
Kuna watanzania wakienda huko wataitwa maprofesa kufundisha wazungu black magic coz kuna watu wataalam wapo deep mpaka wanajiduplicate zaidi ya mara 3
 
Siku wateja watakapokwisha

Mshana Jr muramuwa tutakuweka kwenye program maalumu ya maombi ili uache kuvutiwa na falme za kishetani!!
Moyo wako ufunguke umpokee Bwn wa Mabwana Bwn Yesu uokoke!!
Utakuwa mtumishi mzuri wa Bwn Yesu!!
 
Haya mambo yapo hvyo ni vizuri kujifunza.mi vitu ambavyo natamania kuvijua ni jins wanavyopaa na ungo.kumtoa mtu ndan bila kujielewa.swala la kuona vitu ambavyo avionekan na wengne hlo nalijua
 
Kwenye hiyo website uchwara yao vipo vyote ulivotaja ukitoa hiko cha Egypt tu.

Nimekiona na kile cha Harry Potter Hogwarts.
Website uchwara[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] as if you have one ambayo sio uchwara
 
Mshana Jr muramuwa tutakuweka kwenye program maalumu ya maombi ili uache kuvutiwa na falme za kishetani!!
Moyo wako ufunguke umpokee Bwn wa Mabwana Bwn Yesu uokoke!!
Utakuwa mtumishi mzuri wa Bwn Yesu!!
Aaaamen
 
Back
Top Bottom