Sio vizuri kutishana
Mkuu, uko katika ubora wako.
Nimemuonya tu kimbele, maana hii elimu yako sio ya kawaida aisee....
Sio vizuri kutishana
Niliwah msikia msomali mmoja aliyeokoka akisema, elimu ya juu zaid ya uchawi duniani inapatikana Lebanon, kuna chuo maalum kwa ajili hiyo. Mtafute youtube anaitwa Adam Haji
Unakoelekea siko. Utapotea.
Mwenzio unayetaka kumuiga hana chakupoteza, ohooh??
Mkuu, uko katika ubora wako.
Nimemuonya tu kimbele, maana hii elimu yako sio ya kawaida aisee....
Huyu msomali namkubali mno aisee
Sipotei buaaaana kirahisi hivo
Itabidi unifundishe sasa elimu yako
Bila shaka kuna watu humu watakuja na kusema, huyu msomali alinunuliwa na hilo kanisa ili wapige pesa
Mmmh haya....!!! Tutaomba tu mrejesho
Sawa nisubiria hyo elimu adhimuSina uchoyo. Karibu sana. Nina uhakika elimu yangu itakusaidi, leo na kesho pia.
Siwezi kupotea kiurahisiUtapotea tu, huo ndo ukweli.
Don't try it at home...
Sawa nisubiria hyo elimu adhimu
Jihesabie, umeipata.
Sawa nisubiria hyo elimu adhimu
Siwezi kupotea kiurahisi
Hahahahahaaaa! Jf hakuna MTU nampenda kama Mshana Jr