Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

aiseee. school yakina harry potter (daniel radclife) si ndio?. it real fun

Sahihi kabisa na jamaa kapatia ujuzi hapo ukisoma inatisha sana habari za hicho chuo
 
Tuna kazi kubwa sana ya kuongeza makanisa ili kupingana na wachawi kama mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Uchawi wa kitabu 1451551062424.jpg 1451551093446.jpg mojawapo wa vyuo vya kishirikina 1451551113652.jpg huyu ni mwanafunzi wa ushirikina wa mwanga 1451551251146.jpg uchawi wa kupika pia unajulikana kama uchawi wa kafara la nyama na damu
 
Mkuu @mshana jr nataka kujua namna Mchawi anavyong'oa Nyota ya MTU nakuipachika kwenye Simbols... kama yale maPETE wanayovaaga wafanyabiashara wakubwa na wanaSIASA ile inafanyikaje?
 
Mkuu @mshana jr nataka kujua namna Mchawi anavyong'oa Nyota ya MTU nakuipachika kwenye Simbols... kama yale maPETE wanayovaaga wafanyabiashara wakubwa na wanaSIASA ile inafanyikaje?
Hapana sidhani Kama Kuna hiyo Taaluma, nijuavyo mimi yale manyota ni elimu tu ya kiza pamoja na majini
 
Hapana sidhani Kama Kuna hiyo Taaluma, nijuavyo mimi yale manyota ni elimu tu ya kiza pamoja na majini

Ha ha haaa....mkuu ndio nataka kujua hiyo Taaluma ya Nyota ikiwa unaielewa vzr...maana mtu anavaa liPETE kuubwaa....duh.....
 
Ha ha haaa....mkuu ndio nataka kujua hiyo Taaluma ya Nyota ikiwa unaielewa vzr...maana mtu anavaa liPETE kuubwaa....duh.....
Zile pete si zote zinahusika na nyota nyingine ni mambo ya kishirikina uchawi na majini ila wengi huzuga kwa kusema ni pete za bahati, Pete za nyota
 
Naona nyota ya pentagram inatumiwa sana, pia naona na jicho la horus
 
Back
Top Bottom