Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Course nyingi sana huwa na Maths, vipi na huko zipo?
 
Kwa watu wanomwamini mungu sio kila kitu wanatakiwa kuiga! Vizuri kuiga vyenye faida tu!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
1450982108007.jpg toleo jipya kimeshatoka na kinafanya vizuri kwenye mauzo
 
We Mhitimu wa Mahoutokoro lete cv hapa tukusajili huku Kazulamimba Kgm kwa ajili ya master.

Bado Nina Kashughuli Hapa Bujumbura Then Buzebazeba(kgm),kama Wateja Wakipungua Nitakutaarifu Mkuu
 
Shikamoo mzee mshana jr nakusalimu katika jina la bwana,

Nakutakia sikukuu njema.

Hivi wahitimu wa hivyo vyuo hupewa vyeti!? Dd they get employment?

Vigezo gani vinatumika kudahiliwa?

Wanalipa ada? Serekali inavitambua kwa namna ipi?
 
Last edited by a moderator:

Happy Christmas sumbai hivyo vyuo sio vya uchochoroni vinatambulika kabisa mara nyingi udahili hauna formula rasmi na ni online. Wahitimu wengi hujiajiri au kuajiriwa kwenye intelligence firms na research firms
 
Unasababisha nakuwa na maswali mengi...

Hizo research firms na intelligence firms kwanini ziajili watalam wa uchawi instead ya kuajili watalam from vyuo kama havard, confusious, liverpool school, messachuset, na vyuo maarufu.

Daaah mzeee...
 
1450985670618.jpg wanatumika hata kwenye jamii na hivyo vyuo ulivyotaja wamejaa
 
Sasa kwanini wazungu wanaamini katika mambo haya, alafu sisi huku wanatukataza?

Hawajatukataza by tumejikataaa hebu ona ninavyoandamwa hapa jukwaani kwa ajili tu ya kuongea haya mambo kwa uwazi
 
Back
Top Bottom