Mkuu bado hujatuliaNitakujibu nikitulia
Nashukuru mkuu siku yangu imeenda poa sasaDah[emoji1] nikuombe tu radhi mkuu nitakupm
Asante sana faziliKuna chuo kimoja kama sikosei kipo Magomeni ni chuo cha kufundisha uchawi, uganga na mambo ya majini na elimu ya falaki. Kina mkuu (principal) wake na kinafundisha hayo yote na ada ipo. Shekhe Mnyeshani aliyeokoka anatoa ushuhuda mzuri sana na amewahi kuwa mkufunzi pale. Angalia hapo utashangaa dunia Mshana Jr